Jangwa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
d Masahihisho aliyefanya Hreflafa (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Kipala
Tag: Rollback
Mstari 3:
[[Picha:ValleLuna-002.jpg|thumb|300px|Jangwa la Atacama]]
 
'''Jangwa''' ni eneo pakavu penye [[mvua]] au [[usimbishaji]] kidogo tu. Kutokana na ukavu kuna mimea michache tu pia wanyama wachache. Wanyama walioko hufanya shughuli zao hasa wakati wa usiku. Kipimo cha usimbishaji kinachobulika kimataifa ni kiwango cha chini ya 250 [[mm]] kwa mwaka<ref> Marshak (2009). Essentials of Geology, 3rd ed. W. W. Norton & Co. p. 452. ISBN 978-0-393-19656-6.</ref>. Uoto wa mimea hufunika chini ya asilimia 5 za eneo lake.
 
Wakati mwingine maeneo huitwa jangwa ambayo ni makavu kutokana na baridi kali.
Mstari 103:
| {{formatnum:490,000}}
|190,000
|-
|10
|Sonoran Desert (America)
|310,000
|120,000
|-
| 10
Line 117 ⟶ 112:
 
==Marejeo==
{{Reflist|2}}
{{Reflist|2}}2. [https://exploringthisrock.com/blog/sonoran-desert-wild-places/ Exploringthisrock]
 
[[Jamii:Jangwa|*]]
[[Jamii:Sura ya nchi]]