Madawa ya kulevya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Protected "Madawa ya kulevya" ([Kuhariri=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho) [Kuhamisha=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho))
spam
 
Mstari 11:
 
== Ulevi wa madawa ya kulevya ==
Dawa za kulevya hutumiwa kwa njia nyingi ikiwemo kuvuta kama sigara na bangi, kula kama peremende, kumeza kama tembe, kunusia hasa zile dawa za kulevya ungaunga, kunywa kwa zile dawa za kulevya majimaji, au kutafuna na kumeza maji yake kisha kutupa mabaki kama vile miraa. Dawa nyingine hutumiwa kwa njia ya kupikia chakula au vinywaji kama viungo, kujindunga sidano na kupumua mivuke yake ijulikanayo kwa [[lugha]] za [[Msimu (lugha)|kimsimu]] kama "dabbing"<ref>{{Citation|last=Anon.|first=|title=All you need to know about dabbing|date=2018-08-01|url=https://www.trythecbd.com/what-is-dabbing/|work=Try The CBD|language=en-US|access-date=2018-08-17}}</ref>.
 
Utumizi wa madawa ya kulevya hufanya mtumiaji alewe na ajisikie huru au kuwa upeo mwingine kuliko wa kawaida. Katika [[lugha]] za [[Msimu (lugha)|kimsimu]] huitwa kuwa ‘high’ au ‘stoned’. Hali hii humfanya mtu awe mtovu wa [[nidhamu]] au kufanya mambo ambayo hata mwenyewe atashtuka baadaye akiwa hajatumia madawa.