Mfumo wa mmeng'enyo wa chakula : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
spam
Mstari 99:
Magonjwa hayo yanaweza kuzuiwa kwa kula chakula chenye [[uzi|nyuzinyuzi]], kuenda [[choo|chooni]] wakati unaofaa pamoja na kuenda kufanyiwa [[skrini]] ili kukaguliwa usiende ukawa na [[saratani ya utumbo]].
 
Hata baada ya kufanya hayo yote, huenda ukapata kwamba bado una shida za mfumo wa mmeng'enyo wa chakula. Hili likifanyika, wafaa umwone [[daktari]] anayekabiliana na magonjwa ya mfumo wa mmeng'enyo wa chakula aliyesomea somo la [[gastroenterolojia]] https://gastroinflorida.com/blog/best-gi-doctors-and-treatment-centers/gi-doctor-near-me-find-a-local-gastroenterologist/amp/
 
==Tanbihi==