Insha : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
spam
Mstari 25:
Wanafunzi wa [[vyuo vikuu]] pia huhitajika kuandika mitungo ya insha ambayo ni tofauti na ya wale walio kwa shule za misingi na [[sekondari]]. Kwa walio shule za sekondari, wao hutoa mitungo yao kwa [[akili]], yaani hubuni. Katika vyuo vikuu, mambo hubadilika ambako wafaa kunukuu vipengee vya [[vitabu]] tofauti na mitungo ya wengine ili uandike insha yako.
 
Kwa kawaida, insha hizi huitwa essays kwa lugha ya [[Kiingereza]]. Pia zinafuata kanuni fulani kama inavyoelezwa hapa <ref>[https://theessaypro.com/writing-definition-essay/ how to write a definition essay]</ref>.
 
==Tazama pia==
* [[Insha zisizo za kisanaa]]