Wanyama wa nyumbani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
d Masahihisho aliyefanya Anjakretfep (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Riccardo Riccioni
Tag: Rollback
Mstari 19:
*5. Kwato za wanyama hawa hutumika kutengenezea vyombo kama [[sahani]],[[vibakuli]], na kadhalika.
*6. Mavi ya wanyama hutumika kama [[mbolea]] ambayo huwezesha [[mazao]] kukua haraka na kustawi vizuri.
*7. Wanyama pia hutumika kwa [[Tiba|matibabu]] (therapy). Wagonjwa wanahitaji wanyama katika matibabu yao hupewa ruhusa maalum kusafiri na kuishi na wanyama ata sehemu ambazo wanyama hawakubaliwi.<ref>{{Cite web|url=https://onlinedogtor.com/esa-letter/|title=Online Emotional Support Animal Letters|author=|date=|language=en-US|work=onlinedogtor.com|accessdate=2018-07-24}}</ref>
 
Wanyama wana faida nyingi sana; hizi ni chache tu. Wanyama hao hutoa pia faida za kihisia kama mazoezi, mahusiano ya kijamii na n.k. Wanyama hawa huondoa upweke kwa watu wasiokuwa na marafiki au mahusiano ya kijamii kama [[wazee]], [[watoto]], [[Ujauzito|wajawazito]]. Wanyama wengine huwatembelea [[wagonjwa]].
Line 28 ⟶ 27:
 
1. Wanyama hawatakiwi kupigwa.
 
2. Wanyama wanatakiwa waangaliwe afya zao.
 
3. Wanyama wanatakiwa kupata mahitaji yao.
 
== Tanbihi ==
{{marejeo}}
 
== Marejero ==
* https://en.wikipedia.org/wiki/List_of_domesticated_animals
* https://en.wikipedia.org/wiki/Pet
* https://en.wikipedia.org/wiki/Animal-assisted_therapy
* https://en.wikipedia.org/wiki/Domestication
* https://en.wikipedia.org/wiki/Captive_breeding
 
{{mbegu-utamaduni}}