Ajira : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
spam |
||
Mstari 5:
* Ajira ya kudumu - ''(permanent employment)'' ni ajira ambayo mwajiriwa hana woga wa kuachishwa au kuacha kazi ila tu anapo[[pigwa kalamu]] kwa sababu ya makosa yake, afikishapo miaka ya [[kustaafu]] au kuacha kazi kwa [[hiari]] yake. Waajiriwa wa kudumu hufuata [[ratiba]] fulani na wanaweza kuwa [[wafanyakazi]] wa [[mchana]] kutwa ''(full time employment)'' au wa masaa machache ''(part-time employee).''<ref>{{Cite web|url=https://www.smallbusiness.wa.gov.au/business-advice/employing-staff/types-of-employment|title=Types of employment {{!}} Small Business|author=Small Business Development Corporation|language=en|work=Small Business Development Corporation website|accessdate=2018-07-18}}</ref>
* Ajira ya [[mkataba]] - ''(contract employment)'' hii ni ajira ambayo mwajiriwa huajiriwa kufanya kazi fulani au kwa muda fulani na muda wake au kazi yake ishapo mkataba wake na mwajiri unaisha. Mwajiriwa wa mkataba huwa na uhakika, hawezi kuachishwa kazi kabla mkataba wake uishe, ila tu afanye makosa yasiyo weza kuvumiliwa. Pia yeye hawezi acha ile kazi kwa hiari bila kugharamia hasara yote inayoweza kutokana na kuvuja ule mkataba.
* Ajira ya muda - ''(temporary employment)''
* Ajira ya binafsi - ''(self employment)'' ni ajira ambayo mtu hujiajiri yeye mwenyewe kama vile [[wafanyabiashara]].
|