Mauzo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 6:
[[Mtu]] au [[shirika]] linaloonyesha nia ya kupata bidhaa ya [[thamani]] inayotolewa linajulikana kama mnunuzi au [[mteja]] mtarajiwa. Kununua na kuuza ni lile tendo la kubadilishana umiliki. Kununua ni kupokea umiliki wa kinachouzwa ilhali kuuza ni kupitisha umiliki kwa mnunuzi baada ya malipo. Muuzaji na mnunuzi huafikiana ili kukamilisha ubadilishaji wa thamani.<ref name="seller">{{cite journal|title=Buyer Success and Failure in Bargaining and Its Consequences|first=C.|last=Putthiwanit|first2=S.-H.|last2=Ho|journal=Australian Journal of Business and Management Research|volume=1|issue=5|year=2011|pages=83–92}}</ref>
 
Katika mauzo kunaweza kuwa na kujadiliana bei au bei inaweza kuwa isiyobadilika. Sanasana bei ya bidhaa au huduma hukuliwa na haja ya wanunuzi na wingi wake [[soko]]ni. Kwa biashara zinazolenga wanunuzi fulani, hasa matajiri, muuzaji anaweza kuiweka bei ya bidhaa bila kuzingatia bei ya ile bidhaa au huduma sokoni. <ref name="drugs">{{cite web|url=https://proceed2succeed.net/high-ticket-pricing-and-markets/|title=High Ticket Pricing and Markets|archiveurl=|author=Halder Salim|date=27 June 2018|editor=|language=en-US|publisher=|accessdate=24 July 2018|Web=Proceed2Succeed}}</ref>
 
== Mbinu ==
Mstari 20:
=== Mawakala wa mauzo ===
Mawakala katika mchakato wa mauzo wanaweza kuwakilisha upande wowote; kwa mfano:
# Wakala wa mauzo (kama vile kupitia [[mauzo shirikishi]])<ref>[https://www.advertisepurple.com/in-house-affiliate-vs-agency/ Wauza shirikishi wa ndani au wakala]</ref>
# Wakala mnunuzi
# Wakala anayewakilisha pande zote mbili