Kimelea : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Masahihisho aliyefanya Hreflafa (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Riccardo Riccioni
Tag: Rollback
No edit summary
Mstari 18:
Kuna mimea inayopata [[lishe]] kwa kutumia moja kwa moja majimaji ya mimea mingine na aina kadhaa kati ya hizi zinaendelea bila kutumia [[usanisinuru]] kabisa.
 
==Vimelea na wageniwenyeji wao==
Vimelea mara nyingi hudhoofisha viumbehai wenyeji wao vinamoishi na vinaweza kusababisha magonjwa; kwa kawaida haviwaui mara moja, maana kimelea kinachomwua mwenyeji wake kitakosa mahali pa kuishi.
 
Vimelea vingi vinahitaji mazingira ya mwili wa spishi fulani vikiweza kuishi hapo tu.
 
== Vimelea nje ya mwili wa mwenyeji ==
Vimelea hawa ni kama chawa, kunguni na kupe ambao huishi nje ya mwili wa mwenyeji [[:en:Ectoparasite|(ecto-parasites]]) na hufyonya damu na kutaga mayai juu yake. Huenda wakasambaa kutoka kwa mtu mmoja hadi mwingine. Wao hungojea mwenyeji aje karibu nao ambapo wanamnata na kuanza kumtegemea kwa lishe na pia kwa pahala pa kuzalisha.
 
==Marejeo==