Benki : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
spam |
||
Mstari 10:
* [[Benki za biashara]] ambazo ni makampuni yanayolenga kupata faida kubwa kwa kutoa huduma za kifedha. Benki hizi zinashughulikia [[mawasiliano]] kati ya watu au makampuni yenye pesa za ziada na watu au makampuni wanaohitaji pesa.
* [[Benki za ushirika]] ambazo mara nyingi hazilengi faida kubwa lakini huduma kwa wateja wasio na pesa nyingi; benki hizi zinapokea pia kiasi kidogo cha pesa na kutoa mikopo kwa wajengao [[nyumba]] au [[wafanyabiashara]] wadogo. Benki hizi hutumia mfumo wa uwekezaji pesa ili kujikuza pamoja na wateja wao. [[Wamarekani]] pia hutumia mbinu hii ambayo wanaiita 401k
* [[Benki kuu]] ambayo kwa kawaida ni taasisi ya [[serikali]] inayosimamia utoaji wa pesa taslimu na kiasi cha pesa inayopatikana [[Soko|sokoni]] kwa jumla. Inasimamia pia kazi ya benki za biashara na za ushirika.
|