Tofauti kati ya marekesbisho "Afya"

188 bytes removed ,  miezi 8 iliyopita
spam
d (Masahihisho aliyefanya 41.222.180.57 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na ChriKo)
Tag: Rollback
(spam)
 
Afya ya [[binadamu]] itakuwa njema kama atafuatilia kanuni na taratibu bora za afya. Hiyo inajumuisha mlo kamili, yaani [[chakula]] chenye [[virutubishi]] vyote, vikiwemo [[protini]], [[wanga]] na [[mafuta (chakula)|mafuta]] (hiyo iwe katika [[asilimia]] ndogo sana).
 
Pia anatakiwa awe msafi mwilini na mazingira yake, kama vile kwa kuoga na kusafisha mazingira yanayomzunguka. Mandhari yenye [[hewa]] safi pia husaidia katika kuhifadhi afya ya binadamu katika mwili na akili. <ref name="selfgrowth.com">{{cite web|url=http://www.selfgrowth.com/articles/how-to-improve-your-mind-and-body-with-fresh-air|title=Jinsi ya Kuimarisha Mwili na Akili kwa Hewa Safi}}</ref>
 
Mazingira mara nyingi huchukuliwa kuwa jambo muhimu katika hali ya afya ya binadamu. Hii inajumuisha mazingira ya asili, mazingira ya kujengwa, na mazingira ya kijamii. Pia mambo kama vile maji safi na hewa, makazi salama, huchangia afya nzuri, hasa kwa afya ya watoto wachanga na watoto.<ref>http://www.who.int/hia/evidence/doh/en/</ref>
348

edits