Wimbo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
rv spam
No edit summary
Mstari 3:
Nyimbo huundwa kwa [[lugha]] ya mkato na matumizi ya lugha ya [[picha]] (taswira).
 
Muundo wa nyimbo huwa ni wa kuimbika na [[mizani]] ya kila mstari mara nyingi huwa inalingana.
 
Nyimbo aghalabu huambatana na [[ala]] za [[muziki]] kama vile [[ngoma]], [[zeze]], [[marimba]], makofi, [[vigelegele]] na kadhalika.
 
Wahusika wa nyimbo huwa ni mtu mmoja au kikundi cha watu. [[Mashairi]] ya nyimbo huimbwa popote pale panapostahili kulingana na tukio au muktadha unaofungamana na wimbo. Hivyo basi kuna nyimbo za [[dini]], [[harusi]], [[siasa]], [[jando]]/[[unyago]], [[kilimo]], nyimbo za kuwinda na kadhalika.
 
==Aina za nyimbo==
Kuna aina nyingi za nyimbo zikitofautishwa na nchi, [[utamaduni]] na [[waimbaji]] wenyewe. Kwa mfano kuna nyimbo za kitamaduni, za [[Injili|Kiinjili]] na za kisasa.
 
Hivyo vikundi ni kulingana na nyakati na vinaweza kugawanywa zaidi kulingana na tofauti. Kwa mfano nyimbo za kisasa zinaweza gawanywa kulingana na [[mtindo]] wa wimbo. Nyimbo zinaweza gawanywa kulingana na nchi. Nchini [[Kenya]] kuna nyimbo za [[Kabila|makabila]] tofautitofauti kama [[chakacha]] na [[mugithi]] ambazo zinahusishwa na kabila tofautitofauti.
 
Nyimbo za kisasa zinarekodiwa kwenye [[studio]] za kisasa lakini pia katika studio za nyumbani, mtindo unaoleta mageuzi makuu kwa [[wasanii]]. Leo unaweza kurekodi wimbo mzima ukiwa [[Nyumba|nyumbani]] mradi uwe na vifaa vinavyohitajika.
 
{{mbegu-muziki}}