Klorini : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
spam
No edit summary
Mstari 17:
| mengineyo =
}}
'''ChloriniKlorini''' (tamka: klorini) ni [[elementi]] yenye [[namba atomia]] 17 katika [[mfumo radidia]] maana yake [[kiini atomia]] chake kina [[protoni]] 17. [[Uzani atomia]] ni 35.453 na [[alama]] yake '''Cl'''. Ni elementi ya pili katika safu ya [[halojeni]].
 
Katika hali sanifu ni [[gesi]] yenye [[rangi]] njanokijani. Inamenyuka haraka na elementi nyingine na ni [[sumu]] kwa [[wanyama]] na [[binadamu ni sumu]].
 
Inapatikana kwa wingi katika [[maji]] ya [[bahari]] kama sehemu ya [[chumvi]] ya kawaida [[NaCl]] na pia ndani ya humvichumvi ya KCl.
Matumizi yake ni kusafisha maji au kung'arisha [[karatasi]] kiwandani. Imewahi kutumiwa kama sehemu ya [[silaha]] kama [[gesi ya sumu]].
 
ChloriniKlorini inapotumika kusafisha [[maji]], kuna uwezekano kwamba elementikiasi zacha chloriniklorini hubaki pale kwenyemwenye maji. Hivyo basi kuna mbinu mwafaka ambazo hutumika ili kusafisha hayo maji na kuondoa [[harufu]] na pia elementi za chloriniklorini. Mfano wa baadhi ya hizi mbinu ni [[uvukizi]], [[klorini dioxide]], kubadili myonzo, na njia ya kuchuja.
 
==Picha==
<gallery>
image:Chlor amp.jpg|Chlorini katika chupa
image:Chlor_1a.jpg
</gallery>
 
 
== Viungo vya nje ==