Vita ya Maji Maji : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Tunatakiwa Kuwa wachunguzi zaidi tusikubali kudanganywa tukapoteza asili yetu
Tags: Mobile edit Mobile web edit
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 15:
Tunaona kwamba wahusika wakuu ni mtemi wa wanajamii [[Kinjekitile Ngwale]] na watemi wa Kijerumani.
 
Tunaona kwamba mtemi huyu wa [[kabila]] la [[WanyamweziWangindo]] aliamini kwamba [[maji]] ndiyo [[silaha]] ya kipekee ambayo ingetumika kuwashinda wakoloni hata akawaambia wananchi wake kwamba wakoloni wakirusha silaha waseme "maji" kwa madai ya kuwa silaha itabadilika na kuwa maji.
 
Wanajamii wake waliamini kusikiliza, kwa hiyo basi vita ilipoanza wakoloni walipoanza kuwashambulia wanajamii walisema, "maji", lakini tunaona kwamba jinsi walivyokuwa wakisema "maji" ndivyo walivyozidi kushambuliwa.