Martinus Veltman : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'left|80px '''Martinus Justinus Godefriedus Veltman''' (amezaliwa 27 Juni, 1931) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Uholanzi...'
 
File
Mstari 1:
[[Image:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[File:Martinus Veltman.jpg|thumb|Martinus Veltman]]
 
'''Martinus Justinus Godefriedus Veltman''' (amezaliwa [[27 Juni]], [[1931]]) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya [[Uholanzi]]. Hasa alichunguza nadharia ya chembe za [[atomu]]. Mwaka wa [[1999]], pamoja na mwanafunzi wake [[Gerardus 't Hooft]], alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel ya Fizikia]]'''.