Tofauti kati ya marekesbisho "R. Kelly"

2,111 bytes added ,  miaka 2 iliyopita
no edit summary
 
Kelly ameimba viitikio vya nyimbo kibao maarufu za hip-hop. Nyimbo ni pamoja na "Fuckin' You Tonight" ya [[The Notorious B.I.G.]], "[[We Thuggin']]" ya [[Fat Joe]], "[[Gigolo]]" ya [[Nick Cannon]], na "[[Go Getta]]" ya [[Young Jeezy]], na ameshirikiana na [[Jay-Z]] katika albamu mbili za pamoja.
 
Katika maisha yake binafsi, Kelly amekuwa na kashfa kadhaa za ngono. Taarifa zilielezwa kwamba amemwoa kabinti kadogo Aaliyah, ambaye yeye ndiye alikuwa mtunzi wake wa nyimbo. Kelly na Aaliyah wakasitisha ndoa yao. Baada ya kutolewa video ya mtu moja aliyedaiwa kuwa yeye kufanya mapenzi na msichana mdogo, Kelly akashtakiwa katika kesi kadhaa za ngono za watoto mnamo 2002.<ref>{{cite news|last=W. Fountain|first=John|date=June 6, 2002|title=R. Kelly, R & B Star, Is Indicted on Child Sex Charges|url=https://www.nytimes.com/2002/06/06/us/r-kelly-r-b-star-is-indicted-on-child-sex-charges.html|work=The New York Times|access-date=May 11, 2018}}</ref> Baada ya makawio kadhaa, kesi yake ikapelekwa kizimbani mnamo 2008, na baraza la wazee wa mahakama likamwona Kelly hana kosa katika mshtaka yote 14.<ref>{{cite news|last=Streitfeld|first=David|date=June 14, 2008|title=R. Kelly Is Acquitted in Child Pornography Case|url=https://www.nytimes.com/2008/06/14/arts/music/14kell.html|work=The New York Times|access-date=May 11, 2018}}</ref>
 
Januari 2019 kipindi cha televisheni cha [[Lifetime (TV network)|Lifetime]] kilitoa filamu fupi iitwayo ''[[Surviving R. Kelly]]'' iliyoonyesha wanawake wanaomshutumi kwa [[unyanyasaji wa kingono]]. Kutokana na tuhuma hizo, kampuni ya [[RCA Records]] ilufuta mkataba wake na Kelly.<ref name="Aswad Aswad 2019">{{cite web | last=Aswad | first=Jem | last2=Aswad | first2=Jem | title=R. Kelly Dropped by Sony Music | website=Variety | date=January 18, 2019 | url=https://variety.com/2019/biz/news/r-kelly-dropped-sony-music-1203106180/ | access-date=January 18, 2019}}</ref> Februari 22, 2019, Kelly alifunguliwa mashtaka mengine 10.<ref name="BBCCharge">{{cite news |title=R Kelly 'charged with sexual offences' |url=https://www.bbc.co.uk/news/world-us-canada-47338368 |accessdate=22 February 2019 |date=22 February 2019}}</ref> Julai 11, 2019, Kelly alikamatwa kwa mashataka kadhaa ya ngono.<ref>[https://www.chicagotribune.com/news/criminal-justice/ct-r-kelly-arrested-federal-charges-20190712-6ghntysw3zf3lpncn4owcfzyje-story.html "R. Kelly arrested in Chicago after being indicted by federal grand jury on new sex crime charges"], ''[[Chicago Tribune]]'', July 11, 2019.</ref> <ref>https://www.nytimes.com/2019/07/12/nyregion/rkelly-arrested.html</ref> Hadi Julai 12, 2019, Kelly anakabiliana na mashtaka 18 ikiwa ni pamoja na kufanya mapenzi na watoto wadogo, kuteka nyara na kazi ya kulazimishwa. <ref>{{Cite web|url=https://www.npr.org/2019/07/12/741008967/federal-prosecutors-arrest-and-charge-r-kelly-in-new-child-pornography-case|title=R. Kelly Arrested On Federal Charges, Including Child Pornography And Kidnapping|website=NPR.org|language=en|access-date=2019-07-13}}</ref>
 
== Diskografia ==
== Marejeo ==
{{Marejeo}}
http://blogs.bet.com/music/soundOff/exclusive-sneak-peek-rkellys-untitled/
 
== Viungo vya Nje ==
* [http://www.r-kelly.com/ R-Kelly.com] — R.Tovuti Kelly official websiterasmi
* [http://twitter.com/Kellzodiac R. Kelly] on [[Twitter]]
* [http://www.myspace.com/rkelly R. Kelly] on [[MySpace]]