Tofauti kati ya marekesbisho "Dolar ya Marekani"

28 bytes added ,  mwaka 1 uliopita
+r
(+r)
 
[[Picha:USCurrency Federal Reserve.jpg|thumb|right|250px|Noti za Dola ya Marekani.]]
'''DolaDolar ya Marekani''' (pia: '''dola''', '''US-Dollar''', [[kifupi]] '''USD''') ni [[pesa]] halali ya [[Marekani]]. [[Alama]] yake ni '''$'''.
 
[[Dolar (pesa)|DolaDolar]] ya Marekani inapatikana kwa [[benknoti|noti]] za dola 1, 2, 5, 10, 20, 50 na 100. Kuna pia [[sarafu]] ya dola 1.
 
DolaDolar moja ina [[senti]] 100. Senti huitwa pia "penny" nchini Marekani. Kuna sarafu za [[nusu]] doladolar (half dollar, senti 50), [[robo]] doladolar (quarter, senti 25) na sarafu za senti 10 (dime), 5 (nickel) na 1 (penny).
 
Hadi mwaka [[1969]] noti ya doladolar ya Marekani ilikuwa na ahadi ya kwamba serikali ya Marekani itampatia kila mtu [[dhahabu]] kulingana na [[thamani]] ya dola hizi akipenda kuzibadilisha.
 
Usawa huu na thamani ya dhahabu ulifutwa. Leo hii doladolar ya Marekani ni pesa ya kuiamini serikali kama pesa zote. Maana yake watumiaji husadiki ya kwamba serikali haitachapisha dola kushinda uwezo wa [[uchumi]] na thamani ya [[bidhaa]] zilizopo nchini.
 
Tangu mwisho wa [[Vita Kuu ya Pili ya Dunia]] ([[1945]]) doladolar ya Marekani imekuwa pesa kuu [[duniani]] na sehemu kubwa ya [[biashara]] ya kimataifa hukadiriwa kwa doladolar hizo. Lakini tangu kupatikana kwa [[Euro]] mwaka [[1999]] umuhimu wa doladolar ya Marekani imeanza kupungua polepole. Hata hivyo nchi mbalimbali zimeachana na sarafu zao na kuamua kutumia doladolar ya Marekani tu, k.mf. [[El Salvador]].
 
== Viungo vya nje ==