Bodi ya saketi iliyochapishwa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Splatine.jpg|350px|thumb|Bodi ya saketi yenye mashimo na vifaa, pande zote mbili.]]
[[Picha:Bestueckungsdruck.jpg|350px|thumb|Bodi ya saketi iliyochapishwa, bila vifaa.]]
'''Bodi ya saketi iliyochapishwa''' (kwa [[Kiingereza]]: ''[[:en:Printed circuit board]] - PCB''; pia inajulikana kama '''ubao wa nyaya zilizochapishwa''' ama ''Printed wiring board (PWB)'') ni [[bodi]] inayotumika kwa kuunganisha [[vifaa]] vya [[elektroniki|kielektroniki]] kama vile [[transista]] na vingine.
 
Bodi hizihizo kwa kawaida ni bapa la [[plastiki]] au [[karatasi]] imara au [[mata]] nyingine isiyopitisha [[umeme]]. Juu yake kuna [[njia]] nyembamba za kupitishia umeme zinazochapishwa.
 
Baadaye transista na vifaa vingine vinawekwa kwenye nafasi zilizoandaliwa na kufungwa kwa njia ya kulehemu (soldering). Zamani bodi ilikuwa na mashimo kwa kuweka vifaa, siku hizi teknolojia hii inatumiwa kwa vifaa vikubwa tu au kama ni bodi chache tu zinazotengenezwa. Siku hizi vifaa vinafungwa juu ya bodi tu na hii inapunguza ukubwa kwa bodi. Kazi hii inatekelezwa kwa jumla hasa kwa mashine maana vifaa vimekuwa vidogo mno.
Mstari 12:
 
==Historia==
Mvumbuzi wa Bodi za saketi zilizochapisha, aliyejulikana kwa jina la [[Paul Eisler]] ([[1907]]-[[1995]]) aliyekuwa [[raia]] wa [[Austria]], pindi alipokuwa akifanya kazi nchini [[Uingereza]], alipoifanya moja ya circa 1936 hivi kama sehemu ya [[redio]].
 
Mnamo mwaka [[1943]] [[Marekani]] ilianza kutumia [[teknolojia]] ya juu kwa kiasi kikubwa kuzalisha redio zilizotumika katika [[vita kuu ya pili ya dunia]]. Baada ya [[vita]] teknolojia hiyo ilitolewa kwa ajili ya matumizi ya kibiashara katikati ya [[miaka ya 1950]], baada ya mchakato Jotoridi Sembly ilitengenezwa na [[Jeshi la Marekani]].
 
==Utengenezaji==
Bodi iliyochapishwa ni kiunganishi kikubwa baina ya saketi moja na nyingine kwa muunganiko wa nyaya zinazosambaza umeme au taarifa za elektroniki. Bodi hii ni muhimu sana na hutengenezwa kwa wingi na viwanda ila hivi sasa utengenezwaji wake umerahisishwa na kufanya upatikanaji wake kuwa rahisi zaidi<ref>http://www.qsl.net/klp/projects/PCBFab/NHRCPCB.jpg</ref>.
 
===Mahitaji===
[[Programu]] maalumu ya kutengeneza muonekano wa saketi yako ikiwa imekamilika kwa muonekano wa picha kabla ya kutengenezwa. Pia utahitaji [[pasi ya umeme]] inayotumika kwa matumizi ya kawaida ya nyumbani. [[Mashine]] ya kuchapisha nakala kutoka kwenye [[kompyuta]] ([[Printaprinta]]), mashine ya kutobolea bodi, [[bakuli]] la [[maji]], karatasi maalumu itakayotumika kuhamisha [[mchoro]] na mwisho kabisa bodi itakayotumika kutengezea mchoro.
 
===Hatua za kutengeneza===
1. Kwanza kabisa andaa mchoro wako kwenye kompyuta yako kwa umakini na hakikiisha ndicho unachotaka kutengenezea bodi ya kitu unachotaka kukitengenza<ref>http://www.qsl.net/klp/projects/PCBFab/AFEQSchem.gif</ref>kukitengeneza.
 
2. Kisha chukua karatasi maalum utakayoitumia kuhamishia mchoro wakko wa sakiti kwa kutengezea bodi ya sakiti iliyochapishwa<ref>http://www.qsl.net/klp/projects/PCBFab/AFEQRAT.jpg</ref>
 
3. Kisha toa nakala ya mchoro wako kupitia karatasi maalum iliyoelezewa kwenye hatua iliiyopita(hatua ya pili) kwa kutumia mashine maalum ya kutoa nakala toka kwenye kompyuta.
Mstari 36:
7. Mpaka hapo ubao wako wa saikiti iliyochapishwa utakuwa tayari kwa matumizi ya kutengenezea kifaa chako cha elektroniki.
 
===Maelezo ya ziada===
Ikiwa unahitaji kufahamu zaidi juu ya wavuti zinazoweza kukupa fursa ya kufahamu namna ya kutengeneza ubao wa sakiti iliyochapishwa waweza kutembelea wavuti zifuatazo:
* http://www.expresspcb.com/
* http://www.apcircuits.com/
* http://www.4pcb.com
* http://www.cuustompcb.comm
* http://www.wonderfulpcb.com
* https://www.wellpcb.com
* https://www.ourpcb.com
* https://www.pcbgogo.com
 
==Tanbihi==