Tofauti kati ya marekesbisho "Binadamu"

119 bytes added ,  mwaka 1 uliopita
no edit summary
}}
[[File:Homo-Stammbaum, Version Stringer-en.svg|420px|thumb|[[Mchoro]] wa [[uenezi]] wa [[jenasi]] ''Homo'' katika miaka [[milioni]] [[mbili]] ya mwisho. [[Rangi]] ya [[samawati]] Inaonyesha uwepo wa [[spishi]] fulani [[wakati]] na [[mahali]] fulani.<ref>{{cite journal | last=Stringer | first=C. | title=What makes a modern human | journal=Nature | year=2012 | volume=485 | issue=7396 | pages=33–35 | doi=10.1038/485033a | pmid=22552077}}</ref>]]
[[File:Homo sapiens dispersal routes.jpg|thumb|450x450px|Ramani ya uenezi wa binadamu ([ka] inamaanisha miaka elfu).]]
'''Binadamu''' (pia '''mwanadamu''') ni neno linalomaanisha "Mwana wa [[Adamu]]", anayeaminiwa na dini za [[Uyahudi]], [[Ukristo]] na [[Uislamu]] kuwa ndiye mtu wa kwanza.
 
Watu wote walioko leo hii ni [[spishi]] ileile na tofauti zinazoonekana kati ya maumbile yao katika sehemu mbalimbali za dunia ni kidogo tu.
 
Utafiti juu ya [[DNA]] umethibitisha kwamba binadamu wote wametokana na watu waliokuwepo [[Afrika]] walau miaka 250300,000 hivi iliyopita.
 
Kwa namna ya pekee, upimaji wa [[DNA ya mviringo]], ambayo kila mmoja anarithi kwa mama tu, ulionyesha kuwa binadamu wote waliopo duniani wanachanga mama mmoja aliyewahi kuishi miaka 130,000 hivi iliyopita.