Tofauti kati ya marekesbisho "Lugha za Khoisan"

49 bytes added ,  mwaka 1 uliopita
no edit summary
d (kuondoa kiungo cha ramani using AWB)
 
[[Picha:Khoi-San.png|thumb|300px|Uenezi wa lugha za Khoisan barani Afrika ([[rangi]] ya [[njano]]).]]
'''Lugha za Khoisan''' ni [[lugha]] za [[Afrika]] ambazo ni maalumu kwa [[fonimu]] zake nyingi sana (hadi 141), kuliko lugha nyingine zote [[duniani]].
 
Zimeenea hasa [[Kusini mwa Afrika]], lakini zinatumika pia katika [[wilaya ya Chemba]], nchini[[mkoa wa Dodoma]], [[Tanzania]] ya kati.<ref>Barnard, A. (1988) 'Kinship, language and production: a conjectural history of Khoisan social structure', ''[[Africa: Journal of the International African Institute]]'' '''58''' (1), 29–50.</ref>
 
Hii inaonyesha kwamba kabla ya [[uenezi]] wa ma[[kabila]] ya [[Kibantu]], lugha hizo zilitawala [[bara]]ni Afrika [[kusini]] kwa [[ikweta]].
 
Baadhi ya lugha hizo zimeshakufa na nyingine ziko hatarini. Karibu zote hazina [[maandishi]].
 
Ile inayotumiwa na watu wengi zaidi (250,000 hivi) inaitwa [[Khoekhoe]] ("Nàmá") na inapatikana nchini [[Namibia]]. Inafuatwa na [[Kisandawe]] nchini Tanzania (40,000-80,000).