Hamed bin Mohammed el Murjebi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:TipputipPortrait.jpg|right|thumb|300px|Hamed bin Mohammed el Marjebi (Tippu Tip)]]
{{history of Tanzania}}
'''HamedHamad bin MohammedMuhammad bin Juma bin Rajab el Murjebi''' ([[1837]] – [[14 Juni]] [[1905]]) amejulikana zaidi kwa jina la '''Tippu Tip'''. Alikuwa mfanyabiashara mashuhuri katika [[Afrika ya Mashariki]] na Kati wakati wa karne ya 19.
 
Kwa mujibu wake mwenyewe, jina la ''Tippu Tip''' lilitokana na mlio wa bunduki yake wa 'tiptip. <ref>{{cite book|last1=Ferant|first1=Leda|title=Tippu Tip and the East African slave trade|date=1972|publisher=Hamilton|page=42|url=https://www.google.com/books?id=McO4AAAAIAAJ|accessdate=24 November 2017|quote=For two months Tippu Tip's caravan camped in Chungu's territory and punitive parties were sent out looking for Samu and his men. According to Tippu Tip this was the time he was given his nick-name because guns went 'tiptip, in a manner too terrible to listen to'.}}</ref>
Babake alikuwa mfanyabiashara Mwarabu Muhammed bin Juma, mamake aliitwa Nyaso. Hamed aliingia katika shughuli za biashara tangu umri wa miaka 12 akafaulu katika [[biashara ya misafara]] kati ya [[Zanzibar]] na [[Kongo]]. Alipanga misafara ya ma[[hamali]] waelfu akipeleka bidhaa kutoka [[Bagamoyo]] kupitia [[Tabora]] hadi [[Ujiji]] kwa [[Ziwa Tanganyika]] na ndani ya [[Kongo]]. Bidhaa alizobeba alitumia kujipatia pembe za ndovu na watumwa; watumwa walisaidia kubeba [[pembe za ndovu]] njia ya kurudi hadi pwani. Hemed alitajirika sana. Athira yake ilipanuka katika Kongo ya Mashariki hadi alitawala eneo kubwa sana.
 
 
Hamed akapata jina huko [[Ulaya]] kwa sababu alikutana na wasafiri na wapelelezi Wazungu kama [[David Livingstone]], [[Veney Cameron]], [[Henry Morton Stanley]], [[Eduard Schnitzer]] (Emin Pascha), [[Hermann von Wissmann]] na [[Wilhelm Junker]] ambao mara nyingi walipata misaada muhimu kutoka kwake.
Babake alikuwa mfanyabiashara Mwarabu Muhammed bin Juma, mamake aliitwaBint NyasoHabib bin Bushir, alikuwa ni [[Mwarabu]] wa tabaka la watawala toka [[Muscat, Oman|Muscat]]. Hamed aliingia katika shughuli za biashara tangu umri wa miaka 12 akafaulu katika [[biashara ya misafara]] kati ya [[Zanzibar]] na [[Kongo]]. Alipanga misafara ya ma[[hamali]] waelfu akipeleka bidhaa kutoka [[Bagamoyo]] kupitia [[Tabora]] hadi [[Ujiji]] kwa [[Ziwa Tanganyika]] na ndani ya [[Kongo]]. Bidhaa alizobeba alitumia kujipatia pembe za ndovu na watumwa; watumwa walisaidia kubeba [[pembe za ndovu]] njia ya kurudi hadi pwani. HemedHamed alitajirika sana. Athira yake ilipanuka katika Kongo ya Mashariki hadi alitawala eneo kubwa sana.
 
Akiwa na umri mdogo, Hamad aliongoza kundi la wanaume 100 kwenda Afrika ya Kati kutafuta watumwa na pembe za ndovu.<ref name= Hinde8>{{harvnb|Hinde|1897|p=8}}</ref> After plundering several large swathes of land he returned to Zanzibar to consolidate his resources and recruit for his forces. Following this he returned to mainland Africa.<ref name= Hinde9>{{harvnb|Hinde|1897|p=9}}</ref>
 
Hamed akapata jina huko [[Ulaya]] kwa sababu alikutana na wasafiri na wapelelezi Wazungu kama [[David Livingstone]], [[Veney Cameron]], [[Henry Morton Stanley]], [[Eduard Schnitzer]] (Emin Pascha), [[Hermann von Wissmann]] na [[Wilhelm Junker]] ambao mara nyingi walipata misaada muhimu kutoka kwake.<ref name=Stanley>Stanley, H. M., 1899, ''Through the Dark Continent'', London: G. Newnes, Vol. One {{ISBN|0486256677}}, Vol. Two {{ISBN|0486256685}}</ref> Kati ya mwaka 1884 na 1887 alitwaa [[Mashariki ya Kongo]] kuwa himaya yake na [[Sultan]] wa Zanzibar, [[Barghash bin Said of Zanzibar|Bargash bin Said el Busaidi]].
 
[[Wabelgiji]] walipoanza kujenga ukoloni wao Kongo walimkuta kama mtawala wa Kongo ya Mashariki wakapatana naye na kumpa cheo cha gavana ya Mkoa wa Chutes Stanley ("maporomoko ya Stanley", leo [[Kisangani]]) mwaka 1887 alichoshika kwa miaka michache.
Line 13 ⟶ 18:
Jina lake linajulikana kama mfano kwa mabaya ya [[biashara ya watumwa]] iliyoharibu maeneo makubwa huko Kongo kabla ya mwanzo wa ukoloni. Yeye mwenyewe aliona watumwa ni sehemu tu ya biashara yake akitajirika hasa na biashara ya pembe za ndovu.
 
 
Hamed bin Mohammed el Marjebi amejipatia nafasi katika historia ya Afrika ya Mashariki kwa kuandika [[tawasifu]] au kumbukumbu ya maisha yake yeye mwenyewe. Katika lugha ya [[Kiswahili]] ni mfano wa kwanza wa tawasifu. Pia ni mfano wa pekee wa kumbukumbu ya kimaandishi ya matokeo ya siku zile zisizoandikwa na Mzungu lakini ny mwenyeji. Aliandika kwa lugha ya Kiswahili akitumia [[mwandiko wa Kiarabu]].
== Maisha ya baadaye ==
[[File:TipputipPortrait.jpg|thumb|left|upright|Picha ya Tippu Tip, [[House of Wonders]] Museum, [[Mji Mkongwe]], [[Zanzibar]].]]
 
Hamad alijenga dola kubwa ya kibiashara kutokana na mapato yaliyotokana na mashamba ya [[karafuu]]. Inaaminika kuwa alipondoka kisiwani humo kwenda kujenga dola bara kwa miaka 12, alikuwa hamiliki shamba lolote. Lakini ilipofika mwaka 1895 aikuwa na mashamba makubwa saba na watuma 10,000.
 
==Gavana wa Wilaya ya Stanley===
Mwanzoni mwa 1887, Stanley aliwasili Zanzibar na kumtaka Hamad afanywe kuwa [[gavana]] wa Wilaya ya Stanley Falls huko [[Congo Free State]]. Mfalme Leopold wa Kongo na Sultan [[Barghash bin Said wa Zanzibar]] walikubalina na Februari 24, 1887, Hamad alikubali. Wakati huo huo alikubali kuongoza msafar wa Stanley ili kwenda kumokoa [[Emin Pasha]] (E. Schnitzer), gavana wa Kijerumani wa [[Equatoria]] (eneo la [[Khedivate of Egypt|Ottoman Egypt]], South Sudan ya leo).
 
[[File:ZanzibarTipputip.jpg|thumb|upright|Nyumba ya Tippu Tip in [[Mji Mkongwe]], [[Zanzibar]].]]
 
===Vita ya Kongo-Arabu===
 
Wakati akiwa gavana, [[Vita ya Kongo-Arabu]] vilianza.
 
Mwaka 1886, wakati akiwa Zanzibar, mgogoro ulizuka kati ya ngome yake ya [[Maparomoko ya Boyoma|Maporomoka ya Stanley]] na jeshi dogo la [[Congo Free State]] likiongozwa na Kapteni Walter Deane na Luteni Dubois. Wafuasi wa Hamad walidai kuwa Deane aliiba mtumwa wa kike toka kwa ofisa za Kiarabu. Lakini Deane aliday kuwa mtumwa huyo alikimbia kutokana na kupigwa na mmiliki wake na alichumkua ili kumsaidia. Wafuasi wa Hamad walianzisha mashambuli dhidi ya ngoma ya Deane. Baada ya siku nne, walinzi wa ngome hiyo waliishiwa na risasi na hivyo kukimbia.
 
HamedKunamo 1890/91, Hamad airudi Zanzibar na kung'atuka. Mtoto wake wa kiume, [[Sefu bin MohammedHamid|Sefu]], elaliendeleza Marjebivita kwa niaba yake. Hamed amejipatia nafasi katika historia ya Afrika ya Mashariki kwa kuandika [[tawasifu]] au kumbukumbu ya maisha yake yeye mwenyewe. Katika lugha ya [[Kiswahili]] ni mfano wa kwanza wa tawasifu. Pia ni mfano wa pekee wa kumbukumbu ya kimaandishi ya matokeo ya siku zile zisizoandikwa na Mzungu lakini ny mwenyeji. Aliandika kwa lugha ya Kiswahili akitumia [[mwandiko wa Kiarabu]]. [[Dr. Heinrich Brode]], aliandika kitabu hicho kwa herufi za Kirumi na kutafsiri kwa Kijerumani. Kitabu hicho hatimaye kilichapishwa kwa Kiingereza huko Uingereza mwaka 1907.
 
===Kifo===
Hamad alifariki Juni 13, 1905, kutokana na ugonjwa wa [[malaria]] nyumbani kwake [[Mji Mkongwe]].
 
==Marejeo==
{{reflist}}
* Maisha ya Hamed bin Mohammed el Murjebi yaani Tippu Tip kwa maneno yake mwenyewe, kimefasiriwa na W.H. Whitely (toleo la Kiswahili - Kiingereza), East Africa Literature Bureau 1974
 
==Vyanzo==
* Bennett, Norman Robert. ''Arab vs. European: Diplomacy and war in Nineteenth-Century East Central Africa.'' New York: Africana Publishing Company, 1986.
* Brode, Heinrich. ''Tippoo Tib: The Story of His Career in Zanzibar & Central Africa.'' Translated by H. Havelock with preface by Sir Charles Elliot. London: Arnold, 1907 (''[https://archive.org/stream/cu31924028752644/cu31924028752644_djvu.txt Online version]'').
*Edgerton, Robert B. (2002). The Troubled Heart of Africa: A History of the Congo. New York: St. Martin's Press. {{ISBN|0-312-30486-2}}.
*{{cite book|title=The Fall of the Congo Arabs |last=Hinde|first=Sidney Langford|year=1897|url=https://archive.org/stream/fallofcongoarabs00hind/fallofcongoarabs00hind_djvu.txt}}
* Maisha ya Hamed bin Mohammed el Murjebi yaani Tippu Tip kwa maneno yake mwenyewe, kimefasiriwa na W.H. Whitely (toleo la Kiswahili - Kiingereza), East Africa Literature Bureau 1974
* {{cite book|title=Africa since 1800|author1=Roland Oliver |author2=Roland Anthony Oliver |author3=Anthony Atmore |year=2004|publisher=Cambridge University Press|isbn=0-521-83615-8|url=https://books.google.com/books?id=tCrtyqyyp8wC&pg=PA85&dq=tippu+tip+mother#PPA86,M1}}
* Sheriff, Abdul. ''Slaves, Spices & Ivory in Zanzibar: Integration of an East African Commercial Empire into the World Economy, 1770-1873.'' London, Nairobi, Tanzania, Athens,OH: James Currey, Heinemann Kenya, Tanzania Publishing House, Ohio University Press, 1987.
 
==Viungo vya nje==
 
 
 
{{DEFAULTSORT:Hamed bin Mohammed el Murjebi}}
Line 23 ⟶ 61:
[[Category:Watu wa historia ya Tanzania]]
[[Category:Waandishi wa Tanzania]]
Hamed bin Mohammed el Murjebi (1837 – 14 Juni 1905) amejulikana zaidi kwa jina la Tippu Tip. Alikuwa mfanyabiashara mashuhuri katika Afrika ya Mashariki na Kati wakati wa karne ya 19