Hamed bin Mohammed el Murjebi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
{{history of Tanzania}}
'''Hamad bin Muhammad bin Juma bin Rajab el Murjebi''' ([[1837]] – [[14 Juni]] [[1905]]) amejulikana zaidi kwa jina la '''Tippu Tip'''. Alikuwa mfanyabiashara mashuhuri katika [[Afrika ya Mashariki]] na Kati wakati wa karne ya 19.
 
Kwa mujibu wake mwenyewe, jina la ''Tippu Tip''' lilitokana na mlio wa bunduki yake wa 'tiptip. <ref>{{cite book|last1=Ferant|first1=Leda|title=Tippu Tip and the East African slave trade|date=1972|publisher=Hamilton|page=42|url=https://www.google.com/books?id=McO4AAAAIAAJ|accessdate=24 November 2017|quote=For two months Tippu Tip's caravan camped in Chungu's territory and punitive parties were sent out looking for Samu and his men. According to Tippu Tip this was the time he was given his nick-name because guns went 'tiptip, in a manner too terrible to listen to'.}}</ref>
 
 
Babake alikuwa mfanyabiashara Mwarabu Muhammed bin Juma, mamake Bint Habib bin Bushir, alikuwa ni [[Mwarabu]] wa tabaka la watawala toka [[Muscat, Oman|Muscat]]. Hamed aliingia katika shughuli za biashara tangu umri wa miaka 12 akafaulu katika [[biashara ya misafara]] kati ya [[Zanzibar]] na [[Kongo]]. Alipanga misafara ya ma[[hamali]] waelfu akipeleka bidhaa kutoka [[Bagamoyo]] kupitia [[Tabora]] hadi [[Ujiji]] kwa [[Ziwa Tanganyika]] na ndani ya [[Kongo]]. Bidhaa alizobeba alitumia kujipatia pembe za ndovu na watumwa; watumwa walisaidia kubeba [[pembe za ndovu]] njia ya kurudi hadi pwani. Hamed alitajirika sana. Athira yake ilipanuka katika Kongo ya Mashariki hadi alitawala eneo kubwa sana.