Chillingham Castle : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ' '''Ngome ya Chillingham''' ni ngome ya kipindi cha kati katika historia iliyoko kwenye kijiji cha Chillingham, Northumberland in the northern part of Nor...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 15:39, 16 Julai 2019

Ngome ya Chillingham ni ngome ya kipindi cha kati katika historia iliyoko kwenye kijiji cha Chillingham, Northumberland in the northern part of Northumberland, Uingereza. Yalikuwa ndio makazi ya Grey na Bennett toka karne ya 15 hadi miaka ya 1980 ilipokuwa makazi ya Sir Edward Humphry Tyrrell Wakefield. Katika ngome hii wanapatikana ngome wa aina adimu sana wa Ngombe wa Chillingham.[1] The castle is a Grade I listed building.[2]

Historia

Ngome hii awali ilikuwa ni monasteria mwishoni mwa karne ya 12. Mwaka 1298, Mfalme Edward I alikaa kwenye ngome hii wakati akielekea Uskochi kupigana na jeshi la Uskochi lililoongozwa na William Wallace.

 
A 19th-century depiction of the castle

Ngome hii ilitumiwa kama mahali wanajeshi wa Uingereza walipoanzisha vita dhidi ya Uskochi.

Anne wa Denmark na watoto wake walikaa kwenye ngome hii wakati wa safari yao ya kwenda London Juni 6, 1603.[3] Mwaka 1617, Mfalme James I wa Uingereza, ambaye utawala wake uliunganisha Uingereza na Uskochi alikaa hapo wakati akisafiri kati ya nchi hizi mbii.


Wakati wa vita za Kwanza na Pili za Dunia, ngome hii ilitumika kama kituo cha jeshi. Inaaminika kuwa kipindi hiki ndio wakati ambao mbao zilizotumika kupendesha ngoma ziliondolewa na kuchomwa moto na wanajeshi. Baada ya vita, ngome ilianza kuharibika. Sehemu kubwa iliharibika kutokana na kuvuja kwa paa. Mwaka 1982, ngome ilinunuliwa na Sir Humphry Wakefield, ambaye mke wake Catherine alitoka katika familia ya Grey wa Chillingham waliokuwa wamiliki wa kwanza.

Mizimu ya Chillingham

 
Lady Mary Berkeley, ambaye sauti yake huaminika kusikika ndani ya ngome

Wamiliki wa sasa wa ngome hii wanaitangaza kuwa ni ngome yenye kutembelewa na mizimu kuliko ngome yoyote Uingereza.[4][5] Imefanyiwa uchunguzi na kuwa kwenye vipindi mbalimbali vya televisheni, radio na YouTube,[6] I'm Famous and Frightened!, Scariest Places On Earth, Holiday Showdown, Alan Robson's Nightowls), The ParaPod, ‘'Ghost Hunters International, A Blood Red Sky (2013).

Mzimu maarufu katika ngome hii ni "blue boy".[7] Watu wanaotembelea ngome hii hudai kuona miale ya bluu juu ya vitnda vyao.

Kwenye Fasihi

Ngome hii iko katika vitabu mbalimbali kama vile The Bride of Lammermoor (1819) kilichoandikwa na Sir Walter Scott. Ngome hii ndio iliyopelekea kuandikwa kwa kitabu cha watoto na Eva Ibbotson's mwaka 2005 cha The Beasts of Clawstone Castle.[8][9]

Picha


Marejeo

  1. "Coming up on this week's Countryfile - Sunday 1 November". Countryfile. BBC. 30 October 2009. Iliwekwa mnamo 9 October 2017.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  2. "Chillingham Castle". Heritage Gateway (English Heritage, Institute of Historic Building Conservation and ALGAO:England). 2006. Iliwekwa mnamo 6 August 2010.  Check date values in: |accessdate= (help)
  3. HMC Salisbury Hatfield, vol. 15 (London, 1930), p. 126.
  4. "Ghosts". Chillingham Castle. Iliwekwa mnamo 9 October 2017.  Check date values in: |accessdate= (help)
  5. Wakefield, Mary (29 October 2004). "The ghosts of a chance". The Daily Telegraph. Iliwekwa mnamo 9 October 2017.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  6. Smith, Ian. "Castle's ghostly reputation leads to expansion plans", 12 April 2007. Retrieved on 9 October 2017. 
  7. Campbell Dixon, Anne (24 June 2000). "Northumberland: Castle's knight in shining armour". The Daily Telegraph. Iliwekwa mnamo 9 October 2017.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  8. Whetstone, David. "Eva just gets better", 17 May 2005. 
  9. "Obituary: Eva Ibbotson", 25 October 2010. 

Viungo vya nje

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu: