Nyankende : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d →‎top: wa wa --> wa; new lines; double spaces using AWB
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 1:
'''Nyankende''' ni kata ya [[Wilaya ya Kahama Vijijini]] katika [[Mkoa wa Shinyanga]], [[Tanzania]]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 14,515 waishio humo.kata ya Nyankende ilifaikiwa kuwa na zahanati mwaka 2014 ambapo ilijengwa katika kijiji cha nyakende pia ilipofika mwaka 2015 iliweza kupata shule moja ya sekondari iliyopewa jina la Nyankende huku wakianza na walimu saba tu ikiwemo wawili ni wa sayansi na watano masomo uasanaa mbali na hilo ina shule za msingi sita .1.yankende 2,Bunanda 3.Sinwankere 4.kagera 5.akzyoba na 6.nyambeshi, pia kijiji cha bunanda baadae 2016 kilionhezewa zahanati ya pili kuleta jumla ya zahanati 2 katika kata ua Nyankende kwa kumalizia kuna miaradi mikuu miwili w kwanza ni maji na wapili umeme ambao bado utekelezaji haujanza mpka leo july-2019 <ref>[http://www.wavuti.weebly.com/uploads/3/0/7/6/3076464/census20general20report20-202920march202013_combined_final20for20printing1.pdf Sensa ya 2012, Shinyanga Region - Kahama District Council]</ref>
 
==Marejeo==