Nyankende : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
No edit summary
Mstari 1:
'''Nyankende''' ni [[kata]] ya [[Wilaya ya Kahama Vijijini]] katika [[Mkoa wa Shinyanga]], [[Tanzania]]. Kwa mujibu wa [[sensa]] iliyofanyika [[mwaka]] wa [[2012]], kata ilikuwa na wakazi wapatao 14,515 waishio humo.kata

Kata ya Nyankende ilifaikiwailifanikiwa kuwa na [[zahanati]] mwaka [[2014]] ambapo ilijengwa katika [[kijiji]] cha nyakendeNyankende pia ilipofika mwaka [[2015]] iliweza kupata [[shule]] moja ya [[sekondari]] iliyopewa jina la Nyankende huku wakianza na [[walimu]] [[Saba (namba)|saba]] tu ikiwemo wawili ni wa [[sayansi]] na watano masomo uasanaaya [[sanaa]] mbali na hilo ina [[Shule ya msingi|shule za msingi]] sita: .1.yankende Nyankende 2,. Bunanda 3. Sinwankere 4.kagera Kagera 5.akzyoba Akzyoba na 6.nyambeshi, piaNyambeshi.

Pia kijiji cha bunandaBunanda baadae [[2016]] kilionhezewakilianzishiwa zahanati ya pili kuleta jumla ya zahanati 2 katika kata uaya Nyankende kwa.

Kwa kumalizia kuna miaradimiradi mikuu miwili: wwa kwanza ni [[maji]] na wapiliwa pili [[umeme]] ambao bado utekelezaji haujanza mpka leo july-2019haujaanza <ref>[http://www.wavuti.weebly.com/uploads/3/0/7/6/3076464/census20general20report20-202920march202013_combined_final20for20printing1.pdf Sensa ya 2012, Shinyanga Region - Kahama District Council]</ref>
 
==Marejeo==
Line 5 ⟶ 11:
 
{{Kata za Wilaya ya Kahama Vijijini}}
 
{{mbegu-jio-shinyanga}}