Kiti moto : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Kiti moto''' ni aina ya chakula maarufu kutoka Tanzania. Chakula hiki pia huitwa "mdugu" au "mbuzi katoliki". Sehemu kuu ya chakula hiki ni nyama ya ng...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 07:29, 18 Julai 2019

Kiti moto ni aina ya chakula maarufu kutoka Tanzania. Chakula hiki pia huitwa "mdugu" au "mbuzi katoliki". Sehemu kuu ya chakula hiki ni nyama ya nguruwe.

Inaaminika kuwa chanzo cha jina hili ni kutokana na nia ya kutumia neno la siri kwakuwa Waislamu, ,ambao ni nchini Tanzani hawali nguruwe. Chakula hiki kinapikwa pale mtu anapotoa oda yake na hivyo kukaa kwenye kiti kwa hata zaidi ya saa moja akisubiri kwa hamu.

Baadhi ya migahawa hutenga sehemu maalum ya kula kitimoto kwa heshima ya wateja ambao ni Waislamu.

Kiti moto ni maarufu sana kwenye sehemu za starehe na pombe.


Viungo vya njə