Nyama choma : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 8:
 
Nyama hii hupendwa pia wakati wa [[sherehe]], matukio muhimu ya [[Familia|kifamilia]] na marafiki au mwisho wa [[wiki]] kwa wale wanaokunywa [[pombe]]. Pamoja na kuliwa na [[vyakula]] vingine, mara nyingi huandaliwa na [[kachumbari]].
 
== Tofauti za nyama choma duniani ==
=== Japani ===
 
[[File:Japanese Shichirin HIbachi Conro.JPG|thumb|Jiko la kiasili la kuchoma nyama nchini Japani liitwalo ''"[[Shichirin]]"'']]
Kwenye miji ya nchini [[Japani]], mikokoteni ya [[yakitori]], migahawa au madukani, nyama chomwa huuzwa. Nyama iliyolainishwa kwa marinadi huchomwa kwenye jiko la mkaa kwa kutumia vijiti. Huko [[Malaysia]], [[Singapore]], [[Indonesia]], na [[Thailand]], nyama choma iitwayo [[satay]], ambayo ni nyama iliyolainishwa na kuchomwa kwa makaa kisha huliwa na karangawhich is marinated meat on a bamboo skewer grilled over a charcoal fire and served with peanut (sate) sauce.
 
=== Mexico ===
[[File:Carne asada chorizo.jpg|thumb|right|Mexican [[carne asada]]. Nyama choma aina ya [[Chorizo|Chorizos]].]]
[[Kaskazini mwa Mexico]], ''[[carne asada]]'' chakula kikuu. Aina maarufu ni pamoja na [[Arrachera|arrachera]], [[Beefsteak|beefsteak]] na [[Rib eye steak|rib eye]], pamoja na [[Chorizo|chorizo]]. Kuni na makaa hutumiwa.<ref>{{cite web |title=Weekends have a carne asada smell to them |url=http://www.mexiconewsnetwork.com/en/gastronomy/carne-asada-norteno-tradition/ |publisher=Mexico News Network |accessdate=12 July 2018}}</ref>
 
===Argentina and Uruguay===
[[Argentina]] na [[Uruguay]], ''asado'' (nyama iliyochomwa kwenye moto wa wazi) na ''a la parrilla'' (nyama ya ng'ombe iliyochomwa kwenye jiko la asili) ni moja ya chakula kikuu.
 
===Sweden===
Nchini [[Uswidi]], kuchoma nyama moja kwa moja kwenye makaa ya moto ndio njia maarufu.
 
=== Namibia ===
Nchini [[Namibia]], nyama choma ambayo huitwa [[kapana]] huchomwa kwa moto wa kuni. Nyama hii hukatwa vipande vidogo na kuchomwa sio zaidi ya dakika 10. Ni nyama maarufu sana kwenye masoko na sehemu za starehe.
 
=== Afrika ya Mashariki ===
Nyama choma ni maarufu sana Afrika Mashariki, hasa Tanzania na Kenya. Nyama choma katika nchi hizi huitwa mishikaki.
 
=== Afrika Kusini ===
[[Afrika Kusini]] ni maarufu kwa nyama choma. Nyama choma nchini humo huitwa [[braai]] kutokana na neno la [[Kiafrikana]] "braaivleis."
 
=== Athari za kifaya ===
Utafiri unaonyesha kuwa kuchoma nyama kwa joto la juu kunaweza kusababisha magonjwa mbalimbali.<ref>{{cite journal|last1=Sugimura|first1=Takashi|last2=Wakabayashi|first2=Keiji|last3=Nakagama|first3=Hitoshi|last4=Nagao|first4=Minako|title=Heterocyclic amines: Mutagens/carcinogens produced during cooking of meat and fish|journal=Cancer Science|date=April 2004|volume=95|issue=4|pages=290–299|doi=10.1111/j.1349-7006.2004.tb03205.x|url=http://www.scorecard.org/chemical-profiles/summary.tcl?edf_substance_id=50-32-8|accessdate=1 February 2015|deadurl=no|archiveurl=https://web.archive.org/web/20100619224815/http://scorecard.org/chemical-profiles/summary.tcl?edf_substance_id=50%2d32%2d8|archivedate=19 June 2010|df=}}</ref><ref>{{cite web |url=http://www.cancer.gov/cancertopics/factsheet/Risk/heterocyclic-amines |title=Chemicals in Meat Cooked at High Temperatures and Cancer Risk - National Cancer Institute |publisher=Cancer.gov |date= |accessdate=2015-02-01 |deadurl=no |archiveurl=https://web.archive.org/web/20101221034421/http://www.cancer.gov/cancertopics/factsheet/Risk/heterocyclic-amines |archivedate=2010-12-21 |df= }}</ref> Lakini kulainisha nyama kwa kutumia [[marinadi]] kunaweza kupunguza hatari ya magonjwa haya.<ref name="bbc">{{cite news |url=http://news.bbc.co.uk/1/hi/health/7804571.stm |title=Health &#124; Marinating 'may cut cancer risk' |work=BBC News |date=2008-12-30 |accessdate=2015-02-01 |deadurl=no |archiveurl=https://web.archive.org/web/20081231172531/http://news.bbc.co.uk/1/hi/health/7804571.stm |archivedate=2008-12-31 }}</ref>
 
Nyama chooma huaminika kuwa ni njia mbadala bora ya kupika kuliko kutumia mafuta ingawa uchomaji unaweza kufanya nyama kuwa kavu.<ref>{{cite book|last1=Beckett|first1=Fiona|title=Sausage & Mash|date=2012|publisher=Bloomsbury Publishing|location=London|isbn=9781408187760|page=16|url=https://books.google.ie/books?id=kxQEi9-N-5EC&pg=PA16&lpg=PA16&dq=grilling+drier&source=bl&ots=PZUCv1NINs&sig=k2STp3ujLasH68T6HuinEUpB79A&hl=en&sa=X&ved=0ahUKEwjnvqzViczRAhVnCcAKHae2D8kQ6AEISTAI#v=onepage&q=grilling%20drier&f=false|accessdate=10 February 2017|language=en}}</ref>
 
 
 
== Marejeo ==
Line 14 ⟶ 46:
==Viungo vya nje==
* [https://www.youtube.com/watch?v=MGtpk_jftEo Video ya nyama choma ya mbuzi Tanzania]
* [http://www.whats4eats.com/meats/nyama-choma-recipe Mapishi ya nyama choma nchini Kenya]
* [https://homus.org/best-grill-smoker-combo/ Makala kuhusu jiko la kuchoma nyama]
* [https://edition.cnn.com/travel/gallery/worlds-best-barbecues-bbq/index.html Makala ya picha za nyama choma toka sehemu mbalimbali duniani]
* [https://www.limited-red.com/grills/grill-your-meat/ Mambo mafupi saba ya kufuata kuchoma nyama]
 
 
 
{{mbegu-utamaduni}}