Meli za mizigo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Cargo Granat, Emder Hafen.jpg|thumb|Cargo Granat.]]
[[Picha:Bruges Belgium Cargoship-Natasha-N-in-Dampoort-Lock-01.jpg|thumb|Meli ya mizigo Natasha huko Ubelgiji.]]
[[Picha:Maersk Elba.JPG|thumb|maerskMaersk liner.]]
'''Meli za mizigo''' ni [[meli]] ambazo hutumika kubeba [[mizigo]] mbalimbali na kuisafirisha kutoka sehemu moja kwenda nyingine.
 
Mstari 15:
 
Meli huwa na mstari chini yake; mstari huo mara nyingi huwa wa [[rangi]] nyekundu au nyeusi, na mstari huu hautakiwi kuzama kabisa ndani ya maji kwani meli inaweza kuzama pale tu mstari huu utakapo zama wote ndani ya [[maji]]. Pia [[meli]] hizi hazitakiwi kutembea katika [[maji]] yenye kina kifupi kwani zinaweza kuzama.
 
{{mbegu}}