Kim Jong-un : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
+image |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[File:Kim Jong-un at the Workers' Party of Korea main building.png|thumb|Kim Jong-un (2018).]]
'''Kim Jong-un''' (matamshi ya [[Kikorea]]: [kim.dzʌŋ.ɯn] au [kim.tsʌŋ.ɯn]; alizaliwa [[8 Januari]] [[1982]]-
Kim ni mtoto wa pili wa Kim Jong-il (1941-2011) na Ko Yong-hui. Kabla ya kuchukua madaraka, Kim alikuwa haonekani mara kwa mara kwa umma. Maelezo kama vile mwaka gani alizaliwa, na kama alienda kweli shule nchini [[Uswisi]] akitumia jina la uongo, ni vigumu kuthibitisha. Mwanzoni kulikuwa na majadiliano ya kuunganisha Korea ya Kaskazini na [[Korea ya Kusini]] lakini Vita baridi ilileta uadui kati ya pande hizo mbili. Kila moja alianzisha serikali yake kulingana na itikadi yake. Warusi waliunga mkono utawala wa Kikomunisti Korea Kaskazini na Wamarekani waliunga mkono uchumi wa kibepari na serikali iliyochaguliwa kwa kura ya wengi Korea Kusini.
Line 6 ⟶ 8:
Kim alitangazwa kuwa kiongozi mkuu baada ya mazishi ya baba yake tarehe 28 Desemba 2011. Vyeo vyake ni Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakazi wa Korea, Mwenyekiti wa Tume Kuu ya Kijeshi, Mwenyekiti wa Tume ya Mambo ya Ndani, Kamanda Mkuu wa Jeshi la Watu wa Korea, na mwanachama wa Kamati ya Kudumu ya Politburo ya Chama cha Wafanyakazi wa Korea. Mamo tarehe 9 Machi 2014, Kim Jong-un alichaguliwa bila kupingwa kuingia katika Bunge Kuu la Watu. Kim ana shahada mbili, moja ya [[fizikia]] kutoka [[Chuo Kikuu cha Kim Il-sung]], na nyigine kama afisa wa Jeshi katika Chuo Kikuu cha Jeshi cha Kim Il-sung.
== Viungo vya Nje ==
*[http://video.nytimes.com/video/2010/09/30/world/asia/1248069113905/north-korea-s-young-leader-on-show.html Video kuhusu Kim Jon-un]
*[http://www.naenara.com.kp/en/politics/?leader3 Muhtasari rasmi wa Kim Jong-un]
{{mbegu-mwanasiasa}}
{{BD|1984|}}
[[Jamii:Wanasiasa wa Korea Kaskazini]]
|