Ghurabu (kundinyota) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
No edit summary
Mstari 4:
 
==Mahali pake==
Ghurabu ikolipo jirani na kundinyota la [[Mashuke (kundinyota)|Mashuke]] ''(Virgo)'' na nyota yake angavu [[Sumbula]] ''([[:en:Spica|Spica]])''. Makundinyota jirani mengine ni [[Shuja(kundinyota)|Shuja]] ''([[:en:Hydra]]'') na [[Batiya(kundinyota)|Batiya]] ''([[:en:Crater]])''. Nyota zake angavu zaidi zina umbo la pembenne.
 
==Jina==
Ghurabu ilijulikanalilijulikana kwa jina hili kwa miaka mingi kati ya mabaharia Waswahili waliotumia nyota kutafuta njia baharini wakati wa usiku.<ref>ling. Knappert 1993</ref>
 
Jina la Ghurabu limepokelewa kutoka kwa Waarabu wanaosema <big>الغراب</big> ''al-ghurab'' na hao walitafsiri jina la Wagiriki wa Kale walioona hapa ndege wa kunguru na kumwita Κόραξ ''koraks''<ref>Jina la Kigiriki "koraks" linaiga sauti ya ndege mwenyewe</ref>, lililotafsiriwa kwa Kilatini kama "Corvus" ambalo ni sasa jina la kimataifa.