Jabari : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 3:
'''Jabari''' ni [[kundinyota]] linalojulikana pia kwa [[jina]] lake la kimagharibi la [[:en:Orion (constellation)|Orion]]. Ni [[moja]] ya makundinyota yanayotambuliwa na [[Umoja wa Kimataifa wa Astronomia]] <ref>[https://www.iau.org/public/themes/constellations/ The Constellations], tovuti ya International Astronomical Union , iliangaliwa Julai 2017</ref>
 
[[Nyota]] za Jabari huwa hazikohazipo pamoja kihalisi lakini zinaonekana tu vile kutoka [[duniani]]. Kwa uhalisia kuna [[umbali]] mkubwa kati yake, kama ziko mbali au jirani nasi. Kwa hiyo kundinyota "Jabari" linaonyesha eneo la angani jinsi tunavyoliona kutoka duniani.
 
==Jina==