Mbwa Mkubwa (kundinyota) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 7:
 
==Jina==
Mbwa Mkubwa ilijulikanalilijulikana kwa jina hili kwa miaka mingi kati ya mabaharia Waswahili waliotumia nyota kutafuta njia baharini wakati wa usiku.<ref>ling. Knappert 1993</ref>
 
Jina "Mbwa Mkubwa" linatokana na [[mitholojia ya Ugiriki ya Kale]] iliyoona hapa mbwa anayewinda pamoja na Jabari (Orion) na kumfuata Akarabu (sungura). Baadaye mbwa wa pili alibuniwa na Waroma. <ref>ling. Allen, Star-Names and their Meanings uk, 117</ref> na hapo makundinyota hayo mawili yaliitwa Mbwa Mkubwa na Mdogo. Majina haya yalitafsiriwa baadaye moja kwa moja kwa [[Kilatini]] kuwa Canis Maior na Minor na baadaye kwa [[Kiarabu]] kuwa الكلب الأكبر ''Al-Kalb al-akbar'' (Mkubwa) na ''al-asgar (Mdogo)''.