Ngao (kundinyota) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
No edit summary
Mstari 6:
 
==Jina==
Kundinyota hiihili haikujulikanahalikujulikana kwa mabaharia Waswahili wa Kale wala kwa Waarabu au Wagiriki kwa sababu nyota zake ni hafifu na chache. Nyota zake zilihesabiwa zamani pia kama sehemu ya kundinyota Ukabu. Scutum – Ngao Ilitajwa mara ya kwanza kama kundi la pekee na mwanaastronomia [[Johannes Hevelius]] kutoka [[Danzig]] (Ujerumani / Poland) . Hevelius aliyeandika kwa Kilatini alichagua jina “Scutum” na hapo alimaanisha ngao ya mfalme wa Poland akitaka kumheshimu baada ya [[mapigano ya Vienna|mapigano ya Vienna ya mwaka 1683]] ambako jeshi la Poland liliwashinda [[Waosmani]] na kuokoa mji mkuu wa Milki ya Ujerumani.
 
Hevelius akiwa mpika pombe na mfanyabiashara tajiri aliyeendelea kushika kwa muda pia uraisi wa mji wake alikuwa maarufu hasa kwa kuangalia, kupima na kuorodhesha nyota pamoja na mke wake Elisabeth Hevelius.
 
Scutum - Ngao ipolipo kati ya kundinyotamakundinyota 88 zinazoorodheshwayanayoorodheshwa na [[Umoja wa Kimataifa wa Astronomia]] <ref>[https://www.iau.org/public/themes/constellations/ The Constellations], tovuti ya International Astronomical Union , iliangaliwa Julai 2017</ref> kwa jina la Scutum. Kifupi chake rasmi kufuatana na [[Ukia]] ni 'Sct'.<ref name="pa30_469">{{cite journal | last=Russell | first=Henry Norris | title=The New International Symbols for the Constellations | journal=[[Popular Astronomy (US magazine)|Popular Astronomy]] | volume=30 | pages=469–71 | bibcode=1922PA.....30..469R | year=1922}}</ref>
 
==Nyota==
Ngao –Scutum inalina nyota chache tu. Nyota angavu zaidi ni Alfa Scuti yenye [[mag]] 3.85 ikiwa umbali wa [[miaka ya nuru|miaka nuru]] 199 kutoka [[Dunia]]<ref>[ http://stars.astro.illinois.edu/sow/alphasct.html ALPHA SCT (Alpha Scuti)], tovuti ya Prof. Jim Kaler, university of Illinois, iliangaliwa Oktoba 2017</ref>.
 
==Tanbihi==