Nyoka Maji (kundinyota) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 5:
 
==Mahali pake==
Nyoka Maji ipolipo karibu [[ncha ya anga]] ya kusini. Inapakana na kundinyota la [[Meza (kundinyota)|Meza]] (''[[:en: Mesa|Mesa]]''), [[Nahari (kundinyota)|Nahari ]] (''[[:en: Eridanus|Eridanus]]''), [[Saa (kundinyota)|Saa]] (''[[:en: Horologium|Horologium]]''), [[Nyavu (kundinyota)|Nyavu]] (''[[:en:Reticulum|Reticulum]]''), [[Zoraki (kundinyota)|Zoraki]] (''[[:en:Phoenix|Phoenix]]''), [[Tukani (kundinyota)|Tukani]] (''[[:en:Tucana|Tucana]]''), [[Thumni (kundinyota)|Thumni]] (''[[:en:Octans|Octans]]'').
 
==Jina==
Nyoka Maji ni kati ya kundinyotamakundinyota zilizobuniwayaliyobuniwa tangu mabaharia Wazungu walizunguka Dunia yote yaani karne ya 16. Hazikutajwa katika vitabu vya Wagiriki wa Kale au vya Waarabu. Kundinyota hili lilielezwa mara ya kwanza na mabaharia Waholanzi [[Pieter Dirkszoon Keyser]] na Frederick de Houtman katika safari yao ya kuelekea [[Indonesia]] iliyoonyeshwa mara ya kwanza mwaka 1598 katika [[globu ya nyota]] ya [[Petrus Plancius]] na kuingizwa baadaye katika ramani ya nyota ya [[Johann Bayer]] iliyokuwa muhimu kwa elimu ya nyota<ref>[http://www.ianridpath.com/startales/bayer%20southern.htm Johann Bayer’s southern star chart ], tovuti "Star Tales" ya Ian Ridpath, iliangaliwa Oktoba 2017</ref>.
 
Keyser alitumia jina la [[Kiholanzi]] “Waterslang” (nyoka maji) liliyotajwa baadaye kwa jina la Kigiriki "Hydrus“ ambalo kisarufi ni umbo la kiume la jina Hydra ([[Shuja (kundinyota)|Shuja]]), kundinyota kubwa ya [[nusutufe ya kaskazini]].
 
Leo ipo pia katika orodha ya kundinyotamakundinyota 88 zinazoorodheshwayaliyoorodheshwa na [[Umoja wa kimataifa wa astronomia|Umoja wa Kimataifa wa Astronomia]] <ref>[https://www.iau.org/public/themes/constellations/ The Constellations], tovuti ya International Astronomical Union , iliangaliwa Julai 2017</ref>. Kifupi chake rasmi kufuatana na [[Ukia]] ni 'Hyi'.<ref name="pa30_469">{{cite journal | last=Russell | first=Henry Norris | title=The New International Symbols for the Constellations | journal=[[Popular Astronomy (US magazine)|Popular Astronomy]] | volume=30 | pages=469–71 | bibcode=1922PA.....30..469R | year=1922}}</ref>
 
==Nyota==