Tofauti kati ya marekesbisho "Nzi (kundinyota)"

2 bytes added ,  mwaka 1 uliopita
no edit summary
 
 
==Jina==
Nzi ni kati ya kundinyotamakundinyota zilizobuniwayaliyobuniwa tangu mabaharia Wazungu kuzunguka Dunia yote katika karne ya 16 na kuona mara ya kwanza nyota za kusini. Haikujulikani kwa Wagiriki wa Kale au Waarabu waliojifunza kutoka kwao. Kundinyota hii ilielezwa mara ya kwanza na mabaharia Waholanzi [[Pieter Dirkszoon Keyser]] na Frederick de Houtman katika safari yao ya kuelekea [[Indonesia]] zikaonyeshwa mara ya kwanza mwaka 1598 katika [[globu ya nyota]] ya [[Petrus Plancius]].
 
Keyser alitumia jina la [[Kiholanzi]] De Vlieghe ([[Nzi]]) lililotajwa baadaye kwa jina la ''Kilatini'' "Musca“. Baadaye ilipokelewa katika "Uranometria" ya [[Johann Bayer]] aliyetumia njia ya "Apis" (nyuki) na hivyo kuna vitabu vya zamani vinavyotumia jina Apis lakini baadaye "Musca" ilirudishwa.