Content deleted Content added
Mstari 973:
 
== Barua pepe yangu ==
 
Riccardo salaam. Umeona barua pepe niliyokutuma hivi karibuni? Ningependa kupata maoni yako juu ya majina ya wadudu wale. Asante. '''[[Mtumiaji:ChriKo|ChriKo]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:ChriKo|majadiliano]])''' 15:52, 28 Juni 2019 (UTC)
 
Line 989 ⟶ 988:
Kazi njema na amani kwako! --'''[[Mtumiaji:Riccardo Riccioni|Riccardo Riccioni]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Riccardo Riccioni#top|majadiliano]])''' 10:16, 10 Julai 2019 (UTC)
:Asante sana. Natumaini nitapata majina mengine tena. Hawajui majina ya "true bug" na "cicada"? Amani kwako. '''[[Mtumiaji:ChriKo|ChriKo]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:ChriKo|majadiliano]])''' 15:48, 10 Julai 2019 (UTC)
::Jana mwalimu aliniuliza kuhusu 'cicada'. Nikamueleza kidogo kwa sababu hata Italia yupo (anaitwa cicala), na Watanzania wengine wanamfahamu, ila majina wanayotumia ni tofauti. Baadhi wanamuita "nyenje" jina ambalo hapa juu limetumika kwa Cricket na wengine tena wanalitumia kwa ScorpionMende... Tutaendelea na utafiti. Amani kwa wote! --'''[[Mtumiaji:Riccardo Riccioni|Riccardo Riccioni]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Riccardo Riccioni#top|majadiliano]])''' 07:03, 11 Julai 2019 (UTC)
:::Kwa kuendelea kuuliza kuhusu Cicada, nimejibiwa kuwa jina lake ni Nyenje, Nyenze au Chenene. --'''[[Mtumiaji:Riccardo Riccioni|Riccardo Riccioni]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Riccardo Riccioni#top|majadiliano]])''' 14:43, 20 Julai 2019 (UTC)
 
== spam links ==