Paradigma ya programu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Removed category "script errors"
No edit summary
Mstari 1:
'''Programming paradigm''' ni jumla ya mawazo na dhana zinazoainisha mtindo wa kutengeneza [[programu]] za [[kompyuta]].
 
Programming paradigm haiainishwi na lugha ya kutengeneza programu za kompuyta (programming language) tu. Karibu na lugha zote za kutengeneza programu za kompuyta za kisasa zinakubalia matumizi ya paradigms mbalimbali. Kwa mfano lugha ya C isiyo object-oriented inakubalia kutumiwa kufuatana na kanuni za object-oriented programming ingawa itakuwa na matatizo kadhaa. Functional programming inawezekana kutumiwa katika lugha yo yote ya imperative inayo functions na kadhalika.
 
== Historia ya istilahi ==
Istilahi ya“paradigm”yenye“paradigm” kwa maana ya sayansi na teknolojia ya kisasa ilionekana kwenye kitabu cha Thomas Kuhn kinachoitwa '''Muundo wa mapinduzi ya teknolojia (The Structure of Scientific Revolutions)''' mwaka 1962 mara ya kwanza. Kuhn alitumia neno la paradigm kwa maana ya mifumo imara ya maoni ya kisayansi uchunguzi uliofanyiwa ndani yao. Kwa mujibu wa Kuhn wakati wa maendeleo ya taaluma ya kisayansi paradigm moja inaweza kubadiliwa na nyingine (kwa mfano Ptolemy alieleza muundo wa ulimwengu kwa kusema kuwa jua linazunguka dunia na paradigm hiyo ilibadilishwa na paradigm cha Copernicus aliyesema kuwa dunia linazunguka jua) ijapo paradigm ya kale inaendelea kuwa muda fulani na hata kusitawi kwa sababu wafuasi wake wengi hawawezi kufanya kazi kufuatana na paradimg niyingine kwa sababu hii au ile.
 
Istilahi ya“programminghiyo paradigm”ilitumiwailitumiwa na Robert W Floyd wakati wa hotuba yake ya mwenye tunzo wa Turing Award.<ref>[http://www.ias.ac.in/listing/articles/reso/010/05 The Paradigms of Programming. Resonance – Journal of Science Education - May 2005.]</ref>
 
Floyd anazingatia kwamba katika kompuyta programming inawezekana kuona tokeo linalofanana na paradigms za Kuhn lakini kwa kutofautiana navyo programming paradigms hazitengani.<blockquote class="">
Mstari 14:
nazo.
</blockquote>Kwa hiyo kufuatana na Robert W Floyd kutofautiana na paradigms za kisayansi zilizoelezwa na Kuhn programming paradigms zinaweza kutangamana zikiongeza idadi yao mtengeneza programu anayodhibiti.
== Maelezo ==
 
==Tanbihi==
[[Jamii:Programming paradigm]]
{{reflist}}
[[Jamii:Kompyuta]]