RC Celta de Vigo : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 7:
[[Celta]] haijawahi kushinda [[ligi]] wala [[Copa del Rey]], ingawa wamefika [[fainali]] mara [[tatu]]. Moja ya [[misimu]] bora ya [[timu]] ulikuwa [[1970]]-[[1971]], walipomaliza bila kufungwa [[mchezo]] nyumbani na walijulikana kama "wauaji wakuu". Celta alimaliza wa sita na alipata nafasi kwenye [[Kombe la UEFA]] kwa mara ya kwanza.
Klabu hiyo ilikamilisha nafasi yao bora ya kuwa wanne mwaka [[2002-03]], na kupata nafasi kwenye [[Ligi ya Mabingwa Ulaya]] ya 2003-04 , ambapo waliondolewa na [[Arsenal]] katika mzunguko wa 16. Katika [[2016]]-[[
{{mbegu-michezo}}
[[Jamii:Vilabu Mpira vya Hispania]]
[[Jamii:Viwanja vya mpira Hispania]]
|