RC Celta de Vigo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''RC Celta de Vigo''' (inajulikana kama '''Celta Vigo''' au '''Celta''' tu) ni [[klabu]] ya [[soka]] ya [[Hispania]] iliyoko, [[Vigo]], [[Galisia]]. Kwa sasa [[timu]] yake inacheza [[La Liga]].
'''RC Celta Vigo'''
200px
Jina kamili RC Celta de Vigo
Jina la utani Celestes (The Sky Blues)
Imeanzishwa 23 Agosti 1923; miaka 95 iliyopita
Uwanja Abanca-Balaídos
(Uwezo: 29,000)
Mmiliki Carlos Mouriño
Mwenyekiti Carlos Mouriño
Meneja Fran Escribá
Ligi La Liga
2018-19 La Liga,17th
 
Rangi nyumbani
 
Rangi za safari
 
Timu iliundwa [[23 Agosti]] [[1923]] kutokana na muungano kati ya [[Real Vigo Sporting]] na [[Real Fortuna FC]]. [[Jina la utani]] Os Celestes, linatokana na kwamba wanacheza wakiwa wamevaa [[jezi]] za [[anga la bluu]] na [[soksi]] pamoja na [[kaptula]] [[nyeupe]].