Wandebele : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
kuondoa kopi/paste kutoka makala ya Kindebele
Tag: Blanking
No edit summary
Mstari 1:
'''Wandebele''' ni jina la makundi mawili ya wasemaji wa lugha za Kibantu zinazofanana na Kizulu.
 
*'''Wandebele wa Afrika Kusini''' huishi [[Afrika Kusini]] katika majimbo ya [[Mpumalanga]], [[Gauteng]] na [[Limpopo]]. Hujiita wenyewe '''amaNdebele''', lugha yao huitwa "Kindebele cha Kusini".
 
*'''Wandebele wa Zimbabwe''' walihamia pale wakati wa [[Mfecane]] yaa ni kipindi cha mvurugo kilichosababishwa na vita za [[Shaka Zulu]]. Lugha yao hutiwa "Kindebele cha Kaskazini" na leo hii ni lugha kubwa ya pili ya [[Zimbabwe]] baada ya [[Kishona]].
 
[[Jamii:watu wa Afrika ya Kusini]]