Gongo la Mboto : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
{{fupi}}
'''Gongo la Mboto''' ni [[kata]] ya [[wilaya ya Ilala|Ilala]] katika jiji la [[Dar es Salaam]] nchini [[Tanzania]]. [[Postikodi]] yake ni [[namba]] '''12110''' <ref>https://www.tcra.go.tz/images/documents/postcode/dsm.pdf</ref>. Wakati wa sensa ya 2012 ilikuwa na wakazi 57,312.<ref>http://www.wavuti.weebly.com/uploads/3/0/7/6/3076464/census20general20report20-202920march202013_combined_final20for20printing1.pdf</ref>
 
Gongo la Mboto iko takriban kilomita 17 kutoka kitovu cha jiji kwa kufuata [[Barabara ya Julius K. Nyerere]] na kupita [[Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere|uwanja wa ndege]]. [[Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Kampala]] kinapatikana hapa.