Hakim Ziyech : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|279x279px|Hakim Ziyech akiwa na mpira. '''Hakim Ziyech''' (Kiarabu: حكيم زياش; alizaliwa 19 Machi 1993) n...'
 
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Iran vs morocco 11.jpg|thumb|279x279px|Hakim Ziyech akiwa na mpira.]]
'''Hakim Ziyech''' (kwa [[Kiarabu]]: حكيم زياش; alizaliwa [[19 Machi]] [[1993]]) ni [[mchezaji]] wa [[soka]] wa [[MoroccoMoroko]] ambaye anacheza kama [[Kiungo (michezo)|kiungo]] mshambulia[[mshambuliaji]] wa [[Ajax]] ya [[Amsterdam]] na [[timu ya taifa]] ya MoroccoMoroko.
 
Mnamo 2019, alichaguliwa kama mmoja wa wachezaji bora 20 katika [[Ligi ya Mabingwa wa Ulaya]] (UEFA) kwa msimu wa 2018-19. Anajulikana kwa kufunga kwake, kukimbiza mpira, kupiga pasi ndefu, na kupiga faulo nzuri.
Mstari 7:
 
Ziyech alistahili kuchezea timu ya taifa ya Uholanzi au Moroko. Mwaka [[2015]], alithibitisha kuwa ataiwakilisha Morocco katika ngazi ya kimataifa. Alichaguliwa katika kikosi cha wanaume 23 katika [[Kombe la Dunia]] la [[2018]], Pia ameiwakilisha nchi yake katika [[Afcon 2019]].
 
 
{{mbegu-cheza-mpira}}