Wandebele : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
'''Wandebele''' ni [[jina]] la [[Kundi|makundi]] mawili ya wasemaji wa [[lugha za Kibantu]] zinazofanana na [[Kizulu]].
 
*'''Wandebele wa Afrika Kusini''' huishi [[Afrika Kusini]] katika majimbo ya [[Mpumalanga]], [[Gauteng]] na [[Limpopo]]. Hujiita wenyewe '''amaNdebele''', lugha yao huitwa "Kindebele cha Kusini".
 
*'''Wandebele wa [[Zimbabwe''']] walihamia pale wakati wa [[Mfecane]] yaa niyaani kipindi cha mvurugo kilichosababishwa na [[vita]] zavya [[Shaka Zulu]]. [[Lugha]] yao hutiwa "Kindebele cha Kaskazini" na leo hii ni lugha kubwa ya pili ya [[Zimbabwe]] baada ya [[Kishona]].
{{mbegu-utamaduni}}
 
[[Jamii:watuMakabila waya Afrika ya Kusini]]
[[Jamii:Makabila ya Zimbabwe]]