Nyambono : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Nyambono''' ni [[kata]] ya [[Wilaya ya Musoma Vijijini]] katika [[Mkoa wa Mara]], [[Tanzania]] yenye [[postikodi]] [[namba]] '''31216'''<ref>https://www.tcra.go.tz/images/documents/postcode/mara.pdf</ref>. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 18,106 waishio humo.<ref>[http://www.wavuti.weebly.com/uploads/3/0/7/6/3076464/census20general20report20-202920march202013_combined_final20for20printing1.pdf Sensa ya 2012, Mara - Musoma-District-Council]</ref>
 
Kata ya nyambonoNyambono inapakana na [[wilaya ya bundaBunda]] kwa upande wa [[mashariki]], kata ya [[Suguti]] kwa upande wa [[kaskazini]], na [[Nyamlandilila]] kwa upande wa [[magharibi]] na [[Bugwema]] kwa upande wa [[kusini,Kata ya nyambono inao watu mashuhuri na maarufu]].(''<ref>edited by Sylas Magoti)</ref>
Kata ya Nyambono inaundwa na vijiji vya Bugoji, Nyambono, Kanderema, Kaburabura na Saragana ambapo ndiyo makao makuu ya kata. Sensa ilionyesha kuwa Nyambono ina idadi ya watu 18,106 wanaume 8,888 na wanawake 9,218. Wenyeji wa kata hii ni [[Wajita]] na shughuli zao za kiuchumi ni kilimo cha mazao ya chakula na biashara kama vile [[pamba]], [[mahindi]] n.k, pia wanajishughulisha na biashara ndogondogo. Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na upatikanaji wa mawasiliano ya simu kama vile Airtel na Vodacom. Kuna usafiri wa kila siku wa kwenda na kurudi Bunda. Pia wana zahanati ambayo hivi Karibuni imepandishwa hadhi kuwa kituo cha afya,
 
Kata ya Nyambono inaundwa na [[vijiji]] vya Bugoji, Nyambono, Kanderema, Kaburabura na Saragana ambapo ndipo [[makao makuu]] ya kata.
 
Kwa mujibu wa [[sensa]] iliyofanyika [[mwaka]] wa [[2012]], kata ilikuwa na wakazi wapatao 18,106 waishio humo.<ref>[http://www.wavuti.weebly.com/uploads/3/0/7/6/3076464/census20general20report20-202920march202013_combined_final20for20printing1.pdf Sensa ya 2012, Mara - Musoma-District-Council]</ref> Sensa ilionyesha kuwa Nyambono ina [[idadi]] ya watu 18,106: [[wanaume]] 8,888 na [[wanawake]] 9,218.
 
Wenyeji wa kata hii ni [[Wajita]] na shughuli zao za kiuchumi ni [[kilimo]] cha [[mazao]] ya [[chakula]] na ya [[biashara]] kama vile [[pamba]], [[mahindi]] n.k. Pia wanajishughulisha na biashara ndogondogo.
 
Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na upatikanaji wa [[mawasiliano]] ya [[simu]] kama vile Airtel na Vodacom.
 
Kuna [[usafiri]] wa kila [[siku]] wa kwenda na kurudi [[Bunda]].
 
Pia kuna [[zahanati]] ambayo hivi karibuni imepandishwa hadhi kuwa [[kituo cha afya]].
 
Kata ina watu mashuhuri na maarufu.(''<ref>edited by Sylas Magoti)</ref>
 
Wakazi na wenyeji wa kata Nyambonowanazo wanzo tamadauni[[tamaduni]] zao za [[asili]] zinazo lindazinazolinda [[maadili]] ya Mtanzania.
 
Kata ya nyambono inapakana na wilaya ya bunda kwa upande wa mashariki,kata ya Suguti kwa upande wa kaskazini na Nyamlandilila kwa upande wa magharibi na Bugwema kwa upande wa kusini,Kata ya nyambono inao watu mashuhuri na maarufu.(''<ref>edited by Sylas Magoti)</ref>
Wakazi na wenyeji wa kata Nyambono wanzo tamadauni zao za asili zinazo linda maadili ya Mtanzania
''
==Marejeo==
{{marejeo}}
{{Kata za Wilaya ya Musoma Vijijini}}
{{mbegu-jio-mara}}
 
[[Jamii:Wilaya ya Musoma Vijijini]]