Ndoa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 11:
 
==Suala la ndoa ya jinsia moja==
{{main|Ndoa za wapenzi wa jinsia moja}}
Tangu [[mwaka]] [[2000]] [[idadi]] inayozidi kuongezeka ya nchi zimeanza kuruhusu ndoa kati ya watu wawili wa [[jinsia]] [[moja]]. Kumbe nchi nyingine zinapinga vikali jaribio hilo kama kinyume cha [[dini]] na [[desturi]] au hata [[maumbile]] yenyewe. [[Tabia]] za [[Ngono|kingono]] kati ya [[wanyama]] wa jinsia moja zimeonekana katika [[spishi]] 500 hivi [[duniani]] kote,<ref name="ReferenceA">{{cite book | author = Bagemihl, Bruce | title = Biological Exuberance: Animal Homosexuality and Natural Diversity | publisher = St. Martin's Press | year = 1999 | isbn = 978-0-312-25377-6}}</ref><ref name="Biological Exuberance: Animal">{{cite web| last =Harrold | first =Max | title=Biological Exuberance: Animal Homosexuality and Natural Diversity | publisher=[[The Advocate]], reprinted in Highbeam Encyclopedia | date=1999-02-16 | url=http://www.encyclopedia.com/doc/1G1-53877996.html | accessdate = 2007-09-10}}</ref> lakini wanaosema kuwa [[ushoga]] ni kinyume cha maumbile wanamaanisha maumbile ya binadamu yanayotakiwa kuongozwa na [[akili]] na [[utashi]], si [[silika]] tu kama ilivyo kwa [[viumbehai]] wengine wote. Kwa mfano, [[ubakaji]] unafanywa na wanyama mbalimbali, lakini kwa binadamu haufai kabisa.