Tofauti kati ya marekesbisho "Binadamu"

578 bytes added ,  mwaka 1 uliopita
Utafiti juu ya [[DNA]] umethibitisha kwamba binadamu wote wametokana na watu waliokuwepo [[Afrika]] walau miaka 300,000 hivi iliyopita.
 
Kwa namna ya pekee, upimaji wa [[DNA ya mviringo]], ambayo kila mmoja anarithi kwa mama tu, ulionyesha kuwa binadamu wote waliopo duniani wanachanga mama mmoja aliyewahi kuishi miaka 130160,000 hivi iliyopita<ref>Although the original research did have analytical limitations, the estimate on the age of the mt-MRCA has proven robust. More recent age estimates have remained consistent with the 140–200 kya estimate published in 1987: A 2013 estimate dated Mitochondrial Eve to about 160 kya (within the reserved estimate of the original research) and Out of Africa II to about 95 kya.</ref>.
 
Halafu upimaji wa [[kromosomu Y]], ambayo kila mwanamume anarithi kwa baba tu, ulionyesha kuwa wanaume wote waliopo duniani wanachanga baba mmoja aliyewahi kuishi walau miaka 70120,000 hivi iliyopita<ref>Another 2013 study (based on genome sequencing of 69 people from 9 different populations) reported the age of Mitochondrial Eve between 99 to 148 kya and that of the Y-MRCA between 120 and 156 kya.</ref>, kidogo kabla ya baadhi ya watu kuanza kuhamakuenea katika [[bara]] la Afrika na kuenea [[Asia]] labda kufuatia pwani za [[Bahari ya Hindi]].
 
Hata hivyo, miaka hii ya mwisho imegundulika katika baadhi ya wanaume wenye asili ya makabila ya [[Wabangwa]] na [[Wambo]] ([[Camerun]], [[Afrika ya Kati]]) aina ya kromosomu Y tofauti sana na ile ya wanaume wengine wote waliowahi kupimwa, kiasi cha kukadiria imetofautiana miaka 350,000 hivi iliyopita.