Joe Biden : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
+ 2020 rais wa marekani
Mstari 1:
[[File:Official_portrait_of_Vice_President_Joe_Biden.jpg|right|thumb|Joe Biden, Kaimu Rais wa Marekani]]
'''Joseph Robinette "Joe" Biden Jr.''' (amezaliwa [[20 Novemba]] [[1942]]) ni mwanasiasa wa [[Marekani]]. Kuanzia mwaka wa 1973 hadi 2009 alikuwa mbunge wa [[Senati ya Marekani]] akiwakilisha jimbo la [[Delaware]]. Halafu alikuwa Kaimu Rais wa Marekani chini ya Rais [[Barack Obama]] kuanzia mwaka wa 2009 hadi 2017, akiwa [[Mkatoliki]] wa kwanza na pia Mdelaware wa kwanza kuwa Kaimu Rais.
 
Mnamno Machi wa mwaka [[2019]], Biden alisema anakimbia kwa [[Rais wa Marekani]] la mwaka 2020.<ref>{{cite news|url=https://www.nytimes.com/2019/03/07/us/politics/biden-2020.html|title=Joe Biden's 2020 Plan Is Almost Complete. Democrats Are Impatient.|first1=Jonathan|last1=Martin|first2=Alexander|last2=Burns|date=2019-03-07|via=NYTimes.com|lang=en}}</ref>
 
==Marejeo==
{{reflist}}
 
{{Mbegu-mwanasiasa}}