Mbadili jinsia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Transgender at NYC Gay Pride Parade by David Shankbone.jpg|thumb|right|180px|Picha ya msenge akiwa katika mitaa ya [[New York]] [[Marekani]].]]
'''Msenge''' ni jinaneno la kutaja aina ya watu ambao hujiigiza, kujiskia, kujifikiria na kujiona tofauti na jinsia zao walizopewa tangu kuzaliwa. Neno hili kuna kipindi huitwa 'Shoga.' Kundi hili dogo hujumlisha watu wanaojamiiyana sawa na wengine yaani mume na mke, lakini wao ni dume kwa dume na kujisikia sawa na wenzao ilhali si sisawa na wenzao.
 
Wasenge wengi hupenda kujiita mashoga na kujiona kwamba jinsia walizopewa si sahihi. Kuna baadhi ya wasenge hujiingiza katika maswala ya kucheza filamu za ngono, ni hasa wasenge wa Mabara makubwa kama vile [[Ulaya]], [[Asia]], [[Amerika]] na kadhalika.