Standard Swahili-English Dictionary : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: '''Madan-Johnson's Standard Swahili-English Dictionary''' (kifupi: '''M-J SSE''') iliandaliwa na wataalamu wa "Inter-territorial Language (Swahili) committee to the East African Depend...
 
No edit summary
 
Mstari 1:
'''Madan-Johnson's Standard Swahili-English Dictionary''' ([[kifupi]]: '''M-J SSE''') iliandaliwa na [[wataalamu]] wa "[[Inter-territorial Language (Swahili) committee]] to the East African Dependencies" baada ya [[Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia|Vita Kuu ya Kwanza]] kwa ajili ya maeneo chini ya [[utawala]] wa [[Uingereza]] katika [[Afrika ya Mashariki]]. [[Kamati]] hiyo iliandaa [[kamusi]] [[mbili]] za [[Kiingereza]]-[[Kiswahili]] ([[M-J SES]]) na pia Kiswahili-Kiingereza.
 
[[Mhariri Mkuu]] wa kamati alikuwa [[katibu]] yake [[Frederick Johnson]]. [[Msingi]] wa kamusi hizi ulikuwa [[kazi]] ya [[A. C. Madan]]. Hivyo kamusi hizihizo hutajwa kama "Madan-Johnson".
 
Mara nyingi [[lugha]] ya kamusi hizi si tena Kiswahili cha kisasa. Lakini zimeendelea kuchapishwa mara nyingi hadi wakati wa kisasa.
 
Sifa ya kamusi hii ni maelezo mazuri ya asili ya maneno hasa ya maneno yenye asili katika lugha za [[Kiarabu]], [[Kiajemi]] na lugha mbalimbali za Kibantu.
 
Sifa ya kamusi hii ni maelezo mazuri yakuhusu [[asili]] ya maneno, hasa ya maneno yenye asili katika lugha za [[Kiarabu]], [[Kiajemi]] na [[Lugha za Kibantu|lugha mbalimbali za Kibantu]].
 
==Marejeo==
* Madan-Johnson, A Standard Swahili-English Dictionary (hutolewa na Oxford University Press, Nairobi & Dar es Salaam, 1939 na kuchapishwa upya mara nyingi)
{{mbegu-kitabu}}
 
[[Category:Kamusi za Kiswahili]]