Chuma : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 29:
Utatuzi wa tatizo hilo ni kula [[Kitu|vitu]] vyenye chuma kwa wingi kama [[nyama]] za ndani ([[ini]], [[figo]], [[moyo]]), [[dagaa]] na [[samaki]] wengine, lakini pia [[mboga]] kama [[matembele]], [[mnavu]], [[mchicha]], [[kisamvu]] na [[mlenda]].
 
Kula [[matunda]] yenye [[uchachu]] kama vile [[chungwa|machungwa]], [[ubuyu]] na [[ukwaju]] pamoja na vitu hivyo kunarahisisha ufyonzwaji wa madini chuma. Ni kinyume chake kwa unywaji wa [[chai]] na [[kahawa]] wakati wa [[mlo]].
 
==Picha==
Mstari 36:
file:Limonite_bog_iron_cm01.jpg
</gallery>
 
==Tanbihi==
{{reflist}}
 
== Viungo vya Nje ==