Content deleted Content added
Mstari 990:
::Jana mwalimu aliniuliza kuhusu 'cicada'. Nikamueleza kidogo kwa sababu hata Italia yupo (anaitwa cicala), na Watanzania wengine wanamfahamu, ila majina wanayotumia ni tofauti. Baadhi wanamuita "nyenje" jina ambalo hapa juu limetumika kwa Cricket na wengine tena wanalitumia kwa Mende... Tutaendelea na utafiti. Amani kwa wote! --'''[[Mtumiaji:Riccardo Riccioni|Riccardo Riccioni]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Riccardo Riccioni#top|majadiliano]])''' 07:03, 11 Julai 2019 (UTC)
:::Kwa kuendelea kuuliza kuhusu Cicada, nimejibiwa kuwa jina lake ni Nyenje, Nyenze au Chenene. --'''[[Mtumiaji:Riccardo Riccioni|Riccardo Riccioni]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Riccardo Riccioni#top|majadiliano]])''' 14:43, 20 Julai 2019 (UTC)
::::Asante sana kwa juhudi zako. Ndiyo, hata mimi nilipata majina haya. Inaonekana kama watu wanachanganya wadudu hao kwa sababu wanapiga kelele iliyo takriban sawa. '''[[Mtumiaji:ChriKo|ChriKo]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:ChriKo|majadiliano]])''' 19:48, 27 Julai 2019 (UTC)
 
== spam links ==